maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 722
- 1,536
Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa?
Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua.
Lakini wale wenye macho matatu wameshajua mpango mzima na muuaji nguvu zake zimeanza kupungua hana amani, na huko ndani wamegawanyika vibaya sana kama upinzani ulivyo huko inje, kiuhalisia katika ulimwengu wa roho muhusika atoboi ana hari ngumu sana subirini anguko lake laja.