Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gen Z Tunasema kama jinsi ulivyoyakataa maagizo ya taasisi mbalimbali za kimataifa kuhusu uchaguzi. Na sisi kama vijana tunasema tumekusikia lakini maombi yako tumeyakataa.
43 Reactions
48 Replies
1K Views
https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3 👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua...
4 Reactions
17 Replies
607 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sheikh Jongo: Wale wasiotutakia wema katika nchi yetu bado wanaendelea na bidii zao kufanya nchi isikalike lakini pia Tunaambiwa wajinga tunapopigania amani iendelee ”
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule...
2 Reactions
17 Replies
586 Views
Walipotambulishwa niliona kama pozi iliisha kidogo au ni macho yangu?
3 Reactions
7 Replies
539 Views
Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
6 Reactions
10 Replies
313 Views
PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa...
20 Reactions
31 Replies
2K Views
GT Msitake kujua ni kwanini. Lakini siku mkifunguliwa macho kama mimi mtashangaa. Kutokana na hilo Tanzania ipo hatarini kuendelea kuwa maskini na kushindwa kupiga hatua kiuchumi. Kingine...
30 Reactions
64 Replies
2K Views
Mambo yaliyonichefua:- A. Kuunda wizara ya vijana. So what? B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo? C. Neno "demokrasia" linaweza...
6 Reactions
9 Replies
295 Views
Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
239 Replies
5K Views
Napoongelea maridhiano kati ya Wananchi na Serikali naomba nieleweke kuwa, simaanishi aina Ile ya maridhiano kati ya CCM na ACT kule visiwani, Maridhiano nayoongelea Si yake ya Mh Mbowe na kinana...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1? Hii Ni fedhea kwa Taifa
11 Reactions
29 Replies
739 Views
Aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa tamko lenye hisia kali akilaani vikali mauaji aliyoyaita “Mauaji ya Oktoba” yaliyotokea nchini Tanzania kutokana na Uchaguzi Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za humu, Kuna Jambo moja linashangaza sana, Hivi nini maana ya kiongozi? Bila shaka tunaelewa tofauti kati ya Boss/Mtawala na Kiongozi/Leader. Kiongozi ni yule aliyetoka miongoni mwa watu...
3 Reactions
1 Replies
140 Views
Tunatoa Wito kwa Chadema kurekebisha ratiba zao za Mikutano, na hasa ile inayoanza Asubuhi sana, ili kuondoa Taharuki. Hapa ni Lamadi, na huu ni Mkutano wa Mapema Asubuhi, ambako Wananchi...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimemsikiliza huyu Sheikh Jongo amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31...
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na...
2 Reactions
22 Replies
604 Views
Wakati kuna Kiongozi moja anasema kuwa yupo tayari kunyosha mkono wa maridhiano , lakini wakati huo huo anawazimia redio wengine wasisike na kuonyesha upande wa pili wa shillingi. Sasa mtu kama...
1 Reactions
1 Replies
125 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya...
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Back
Top Bottom