Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo...
7 Reactions
12 Replies
144 Views
Tayari! One can precisely guess the outcome. Hawezi kuandika ukweli au uongo aliousikia. Naishia hapa
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Kama Title inavyosema Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa Mimi...
7 Reactions
67 Replies
617 Views
Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa...
2 Reactions
7 Replies
132 Views
Sijui mwenzetu hukumwelewa mkuu wako kuwa speed ya kuzoa taka Dar ni ndogo ndio maana amji unakuwa mchafu Ukaambiwa uifute tenda wasipewe madiwani wapewe kampuni zinazojiweza je UNATAKA...
2 Reactions
2 Replies
76 Views
Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa...
0 Reactions
17 Replies
160 Views
Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na...
5 Reactions
24 Replies
415 Views
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?. Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela...
13 Reactions
116 Replies
1K Views
Kwa hili niko na Mange 1,000 percent. Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji...
2 Reactions
67 Replies
1K Views
Ifike mahali tuwapuuze hawa watu, kuna namna hii familia inatafuta trend na huruma. Ukute mdogo mtu kalipa watu ili waendelee kujadiliwa, si bado ana posho za ubunge
1 Reactions
2 Replies
51 Views
Rule of law inasema no one above the law. Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili...
6 Reactions
26 Replies
287 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali...
1 Reactions
3 Replies
68 Views
KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha...
0 Reactions
4 Replies
323 Views
Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k...
5 Reactions
17 Replies
316 Views
Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu...
14 Reactions
85 Replies
1K Views
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka...
0 Reactions
15 Replies
178 Views
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake...
17 Reactions
88 Replies
1K Views
Sikiliza we unae soma hapa, kama mama na Babako na Mama yako ni Kapuku, usiingie kwenye siasa na ukaleta mdomo na kiburi utapotezwa na hakuna wa kukutetea unaliwa kichwa mithili ya Pole pole, na...
2 Reactions
6 Replies
165 Views
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM...
0 Reactions
7 Replies
136 Views
Back
Top Bottom