Balozi wa Tanzania Dubai: Ndg Omar Mjenga

Semboko

Member
Nov 9, 2014
13
45
Lemont Bishop-

Kiprotokali bado kuwa Balozi kamili ila ni Balozi wetu mdogo Dubai.Sifahamu sana elimu yake ila ninavyofahamu alikuwa mwakilishi wa UNOPS huko Sierra Leone kwa muda.Inasemekana yuko karibu sana na mtoto mkubwa wa Mkuu wa nchi na mara baada ya mkataba wake UN kwisha alipewa kazi MoFa (sidhani kama ni kwa upendeleao kwa sababu ana uzoefu) na baadaye kupandishwa mpaka kuwa Kaimu Mkurugenzi wa kitengo na hatimaye Balozi wetu mdogo Dubai.Bado sio Balozi kamili.Niseme tu anafahamu sana eneo la self-promotion!
 
toby ziegler

Senior Member
Aug 20, 2011
106
0
inaonekana ana spend pesa nyingi sana kununua nguo

au uko foreign wanapewa vocha za kununua suti za ghali?
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,983
2,000
he is young and a diplomat

Tatizo ni mtu anayependa sana cheap popularity... ni kama tozi fulani la kimtindo

I have had time ya kukaa naye hotel moja kwa kama siku nne... kusema kweli sikuona kama ni mtu mbaya, but i think utoto haujamwisha kabisa
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,847
2,000
inaonekana ana spend pesa nyingi sana kununua nguo

au uko foreign wanapewa vocha za kununua suti za ghali?
Iko kwenye standing orders za serikali, watumisho wote wa umma, wanaposafiri kwenda nje ya nchi, pamoja na mambo mengine, pia hulipwa outfit allowances ili wavae nadhifu!, hivyo yeye anaitumia ipasavyo kuvaa nadhifu!. Hao watumishi wengine ambao unawaona wanavaa kawaida, ile allowances wanaibania ili kurudi na suitcases za zawadi!.

Pasco.
 
Njoka Ereguu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
821
195
Kuna vitu vya maana vya kujadili? i think we moving to the wrong direction. Tanzania nani asiyependa kupendeza? je asingevaa vizuri tungesemaje? ungesikia JK toa mtu wako anatuambisha. Tunapenda sana kufuatilia maisha ya watu badala ya kutumia muda wetu kujiletea maendeleo.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,847
2,000
he is young and a diplomat

Tatizo ni mtu anayependa sana cheap popularity... ni kama tozi fulani la kimtindo

I have had time ya kukaa naye hotel moja kwa kama siku nne... kusema kweli sikuona kama ni mtu mbaya, but i think utoto haujamwisha kabisa
Mkuu Janjaweed rekebisha kidogo statement yako, sio cheap popularity bali cheap publicity!.

Kama ni hivi, huyu atatufaa sana sisi Tanzania, kutokana na umasikini wetu, mtu anayependa cheap publicity, atatufaa sana kutuwezesha to save on publicity, kwa sababu, publicity is expensive, hivyo cheap publicity saves us our little money that we have!.

Pasco.
 
Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
307
0
Nimesoma huu uzi pamoja na comment zingine. Sijamwelewa mleta uzi ana matatizo gani binafsi na mtu alomtaja. Nilidhani katumia ofisi vibaya kumbe anavaa vizuri tena nadhifu kama inavyotakiwa. Hebu acheni simple minds. Kama huna mada soma za wenzio.
 
HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
nashangaa sana wana JF

Hivi ujanja wenu wote mmeshindwa kumuweka wazi huyu jamaa? yaani kila kitu lazima nije niwawekee sawa?

Huyu alikuwa foreign, kisha akapandishwa cheo Ikulu kisha akapanda zaidi to USA kisha akapandishwa zaidi to UN WEST AFRICA baadae karudishwa hapa Dar baada ya muda kapanda tena Dubai.

Huyu jamaa ubishoo anao si uwongo lakini inaonekana alipata mwanamke wa kiblack america (sizungumzii yule CIA aliyejikita kwenye serikali yetu) bali kule kule USA matokeo yake akabadilika usafi kwenda kwa mbele na kama mnavyomjua tena JK hupenda wafanyakazi wake wawe smart sio kuvaa magube gube kama akina gurumo japo wanapesa.

Tatizo lake kubwa kama aliyosema huyo dada hapo juu...ZIPU hafungi. Na naona angekuwa kule GUANGZHOU kwenye post ya yule Myemen ( BALOZI MDOGO WA TANZANIA BWANA SALAAH WA HOME SHOPPING CENTRE) bas wake zenu na hawa ma star wote wakike wanaokwenda kule angekuwa anawapa msaada mkubwa mno.

Kikazi anafaaa? Hili silijui kwa kuwa tushajua kama ni weak kwenye upande wa mabinti ni rahisi sana huyu kutoa siri za nchi akipelekewa mbunye.

bora wangempa ubalozi BurkinaFaso ukurugenzi wa biashara wizara ya kilimo kumshikisha adabu mpaka awe mpole

mchana nitarudi tena na mafaili yake kama ya yule Myemeni wenu wa kule china
 
NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,018
1,250

nakumbuka mwaka 1999 alikiwa mwaka wa tatu UDSM hall 4 alitaka kujiua kwa sababu ya kademu kake flani hivi kalimpiga chini
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,273
2,000
a very foolish contribution and unproductive one. Tutafute kazi za maana na tuachane na Wivu na Umbea
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,774
2,000
Lemont Bishop-

Kiprotokali bado kuwa Balozi kamili ila ni Balozi wetu mdogo Dubai.Sifahamu sana elimu yake ila ninavyofahamu alikuwa mwakilishi wa UNOPS huko Sierra Leone kwa muda.Inasemekana yuko karibu sana na mtoto mkubwa wa Mkuu wa nchi na mara baada ya mkataba wake UN kwisha alipewa kazi MoFa (sidhani kama ni kwa upendeleao kwa sababu ana uzoefu) na baadaye kupandishwa mpaka kuwa Kaimu Mkurugenzi wa kitengo na hatimaye Balozi wetu mdogo Dubai.Bado sio Balozi kamili.Niseme tu anafahamu sana eneo la self-promotion!
Huyu si ndiye kati ya mwenye lile Sarafusi la mapesa ya Membe ...
 
kamatiyafitna

Member
Nov 16, 2014
55
0
a very foolish contribution and unproductive one. Tutafute kazi za maana na tuachane na Wivu na Umbea
Hivi humu JF kuna mtu ambaye habaru zake hamuna?

Naamini kuwa JF ni branch ya TISS. Haiwezekani mkawa na ao much data na zingine za ndani kuliko hata hao wanaofanya naye kazi.

Lakini na mimi naweza kuongezea tuu kuwa huyu jamaa sifa yake nyingine ni ambitious. Sitoshangaa kusikia kampindua Membe pale foreign
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,774
2,000
Hivi humu JF kuna mtu ambaye habaru zake hamuna?

Naamini kuwa JF ni branch ya TISS. Haiwezekani mkawa na ao much data na zingine za ndani kuliko hata hao wanaofanya naye kazi.

Lakini na mimi naweza kuongezea tuu kuwa huyu jamaa sifa yake nyingine ni ambitious. Sitoshangaa kusikia kampindua Membe pale foreign
ImageUploadedByJamiiForums1417405641.241465.jpg

Huyu amekuwa kuwadi wa mabwanyenye...Kama alivyowahi kusema Prof Seth Chachage .....

Hapa akimdalalia Mzee wa Cash Bilioni 73 ( stanbic Za escrow ) ...Huko Dubai ...Ndio kazi yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom