Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,364
- 11,520
Nadhani sisi wazanzibar ni wakati wa kukubaliana na ukweli mchungu na kuutambua mchango mkubwa sana uliofanywa na baba wa taifa huru, mwanamapinduzi, jasiri, mpigania uhuru JOHN OKELLO raia wa UGANDA.
Katika kipindi hicho kigumu ambacho Zanzibar ilipitia Shujaa huyu aliongoza mapinduzi hayo kwa Ujasiri kabisa na kuyafanikisha kumwondoa Mkoloni Sultan na hivyo kuwarudishia Uhuru wao Waafrika.
Wakati akifanya hayo Mzee Karume alikuwa amejificha Dar akiulizia kwenye simu " vipi mmewaweza? Muwe mnanipa Updates wadau"
John Okello Mwanaume wa Kibara alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha Zanzibar inakuwa nchi huru.
Tuacheni unafiki, chuki, husda na fitna. Tutubu dhulma tuliyomfanyia Joh Okello ili nasi sasa tuwe huru. Huyu Jamaa ilipaswa picha yake kuwekwa ofisi zote na kuandikwa
"JOHN OKELLO BABA WA TAIFA HURU LA ZANZIBAR "