Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la...
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Mambo yanaenda kasi sana.
Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa.
Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM...
Mbunge kutoka Tunguu, Zanzibar, Simai Mohamed Said anasema ndani ya Serikali kuna kiongozi ambaye ni Yuda kwani amewasaliti wenzake, anasema kiongozi huyo aliwahi kutajwa kama kiongozi mzigo na...
Kufutia madai yaliyotolewa na mbunge anayetokana na Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar Simai Mohamed Said akidai ya kwamba kuna baadhi wanakwamisha juhudi za...
Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka.
Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni.
Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john...
Walah najiapiza siku hio nitajulikana..
Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!!
How...
Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo).
Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio...
Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.
Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.
Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na...
Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI
Taifa linaanza kuwapa...
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,
Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic...
Wakuu, salaam.
Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe.
Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii.
NIMEJIRIDHISHA...
Kutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT.
Hii aina ubishi na aina comeback!
Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa.
Over.
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama...
Tanzania kama nchi zingine tunayo tume ya maadili ipoipo mahala imetulia na huwa na wale wazee fulani hivi ambao wana mwelekeo mwingine.
Hata kwenye vyama vya siasa zipo kamati za maadili ambazo...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea...
Ndugu wana-Jamii Forums,
Katika hali iliyoleta taharuki na mjadala mpana kwenye anga za kisiasa za ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), mwanasiasa machachari na msomi kutoka Afrika Kusini, Dkt...
Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.