Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS. Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA...
1 Reactions
6 Replies
156 Views
Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini. Lengo lake...
13 Reactions
27 Replies
412 Views
Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ...
1 Reactions
4 Replies
160 Views
Nani wanaomtisha Lissu ? Maana kasema msimtishe na hapo nyuma aliwahi kusema kuna watu wanaenda gerezani usiku Je ndo wanaomtishia na kumnyonga? Maswali ni mengi Lissu kasema msimtishe maana...
3 Reactions
28 Replies
533 Views
Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu. Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao. CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa. Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu...
4 Reactions
11 Replies
201 Views
  • Featured
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama. Ado...
18 Reactions
47 Replies
2K Views
MTU Hana Silaha yoyote ile sio Kisu Wala Panga Wala Bunduki. Huenda ana Tatizo la Afya ya Akili. Huenda anapitia kipindi kigumu sana cha Uchumi Kiasi kwamba Hana pakushika, akilim kwake...
1 Reactions
5 Replies
121 Views
Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
6 Reactions
16 Replies
425 Views
Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa...
3 Reactions
19 Replies
369 Views
Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama...
7 Reactions
28 Replies
472 Views
Ukiona mtu kipindi hiki kigumu kwa maisha ya Lisu mtu anaibua mvurugano, ujue huyo ni pandikizi a CCM. Akili ya kawaida inakwambia kuwa muda huu ni kupigania maisha na uhuru wa Lisu. Mtu ambaye...
8 Reactions
32 Replies
334 Views
Mwenye interest asome hili andiko. ..........Congress implemented Clause 1, and the resulting elements of the offense are asfollows: 1. A person who owes an allegiance to the United States 2...
0 Reactions
2 Replies
40 Views
Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu. Kinachoendelea sasa...
9 Reactions
25 Replies
440 Views
Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu. Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho...
15 Reactions
37 Replies
598 Views
Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo...
0 Reactions
9 Replies
190 Views
Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo...
6 Reactions
7 Replies
210 Views
Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu...
12 Reactions
28 Replies
438 Views
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
2 Reactions
14 Replies
129 Views
Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema. Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa...
14 Reactions
96 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…