Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani...
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe.
CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii...
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier...
Wanabodi,
Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu...
Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili...
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi.
Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa...
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata...
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila...
Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza...
I would like to raise a matter that I believe deserves serious reflection within the Commission’s responsibility for ensuring and maintaining quality in Tanzania’s universities.
Professor, as TCU...
Wakristo wanaamini ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja..na hivyo si sahihi kiroho kwa mkristo kuhani msiba kwa mume au mke wa pili kwa mtu..!
Muwe na jumapili ya Baraka.
Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba...
Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM.
CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya...
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameonekana Kizimkazi akitoa pole kwa Samia Suluhu kufuatia kifo cha mumewe
Mbowe ambaye anafahamika pia kama USTAADH ABOUBAKAR, ameonekana akiwa...
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili...
Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.
Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea...
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.
Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.