Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais.
Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu...
Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu...
Kuanzishwa kwa Wizara mpya ya Vijana kunalenga kuimarisha mchango wa vijana katika maendeleo ya Taifa kupitia uwezeshaji, ajira, afya, teknolojia na ushiriki katika uongozi. Hapa chini ni muundo...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani...
Haya mambo ya kusema "Waliandama kwa mkumbo" wala hayana mantiki yoyote kwa sasa. Kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu ulipaswa kudili na hao "Waleta Mkumbo" kwa wananchi wako kabla hayajatokea...
Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia.
Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi.
Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite...
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani...
Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT.
Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia...
Utangulizi
The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) ni mpango wa ushirikiano ulioundwa na mashirika makuu ya kidini nchini Tanzania:
Baraza la...
15 November 2025
https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y
Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge...
Watanzania wote tumejionea na tumekiri vita italetwa na ccm. Hizi propaganda zao za kuwauzia uoga wananchi kuwa upinzani utaleta vita ni vichekesho. Mmeona Samuya alivyobaka uchaguzi na...
Kuona ile video hapana aisee imeniumiza sana na nikapiga picha wabunge walivyokuwa bungeni wanacheka na kupiga selfie aisee hapana aisee
Nimeangalia video nyingi ila hii ya mortuary ya...
Habari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya...
Hamjambo!
1. Ni wazi vita imekolea kwa kiwango cha juu kabisa
2. Propaganda za tafuta pesa zilishamiri huku watu wakifikiri pesa ndio utu wa mwanadamu.
3. Sisi watibeli Pesa ni karatasi tuu...
Hapana kwa kweli, Hapana
Roho yangu inaumia, nimekufa ganzi ya mtima. Kila siku video na picha zinakuja, wananchi wanashare unyama na udhalimu uliokithiri waliofanyiwa na majeshi nchini...
Hii ni moja ya video inayomuonesha mtu alivaa kanzu akikatiza eneo la Jeshi la Polisi bila kuingiliwa na askari yoyote. Je, unadhani hii inaweza kuwa mbinu nzuri zaidi ya kuvaa kanzu, au je, kunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.