PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,687
Reaction score
36,318
15 November 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y

Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano, wasikutishe Mama na kelele zao ktk mitandao n.k

Achambua uwezekano wa Tanzania kutengwa kimataifa, Samia Hassan kushindwa kusafiri nje ya mipaka ya Tanzania, aonya Mapinduzi Tanzania, sera ya Museveni kujitanua hadi Bahari ya Hindi, kutepeta kwa Diplomasia ya Kenya.
 
Back
Top Bottom