Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Minongo'ono kwenye vijiwe vya kahawa vinasema baadhi ya madhehebu ya dini yamegeuka kuacha kufanya kazi za Mungu na kujiingiza kwenye biashara. Baada ya mabadiliko makubwa ya pale bandarini...
2 Reactions
40 Replies
770 Views
Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya...
1 Reactions
3 Replies
170 Views
Hii dunia ina wanafiki wengi, Huyu Sheikh Mwaipopo mchumia tumbo kama wengine, hivi mtu unawezaje kupigwa risasi mbili bahati mbaya, kwamba asisema amedhulumiwa uhai makusudi na mamlaka, naye...
4 Reactions
3 Replies
393 Views
Mzee Butiku ambae ni mwenyekiti wa Kigoda cha Mwl Nyerere, Hivi majuzi akihojiwa Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara na kituo maarufu cha ITV katika kipindi Cha DKT 45, Ametoa maoni yake kuhusu...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna video imepositiwa instagram mpaka nikajiuliza hivi hawa viongozi wanaziona kweli hizi video, na kama wanaziona wanasubiri nini kumwajibisha Samia. Yaani binadamu wamekufa kama kumbikumbi...
8 Reactions
15 Replies
430 Views
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa X: "Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba"
0 Reactions
7 Replies
419 Views
Leo Novemba 15, 2025, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA Musa Nassoro, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Makumbusho ya Mtwa Mkwawa kilichopo eneo la...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au...
29 Reactions
67 Replies
3K Views
Ametepeta. Wamtandao wamemuingiza mama kwenye damu. Wangemlazimisha. Nyie namuonea hulumu bimkubwa. Mateka mwenye ving'ola. Hajui hata afanyeje. Amekonda kwa kilichotokea. Kuna genge liliamua...
20 Reactions
88 Replies
4K Views
Hata kama walipewa order ndo ukose ubinadamu kiasi hiki unaua watoto wadogo kwa kiwango hiki, Nyumbani kwako hauna watoto vipi ukirudi kwako ukakuta wanao wameuawa...
2 Reactions
20 Replies
712 Views
Habari za jioni! Sheikhe Pembe alikuwa akitoa maoni yake kama watu wengine lakini akasahau cheo chake cha usheikhe na dini aliyomo ambayo ni uislamu inamtaka awe mwingi wa tahadhari anapozungumza...
3 Reactions
8 Replies
408 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi. Bila kupepesa macho CCM kwasasa wanajificha kwenye udini ukihoji uhalali wa uchaguzi na mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi,katiba mpya utaambiwa wewe...
2 Reactions
1 Replies
229 Views
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
9 Reactions
196 Replies
10K Views
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU. NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI. NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na...
5 Reactions
12 Replies
560 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Bila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba. Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya...
2 Reactions
13 Replies
341 Views
Maandalizi ya Sabato yanasemaje? 1. Ndugu zangu kuna msemo unasema mtu mzima hatishiwi Nyau. Ule msemo unaamana kubwa sana. Ambayo hivi karibuni umetaka kudhihirika machoni petu. 2. Tumeona...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza, naomba mwenye tamko atuwekee tuone Hawa maaskofu wa kikatoliki waliongea nini baada ya Lissu kupigwa risasi tuone. Maana mm sikuona tamko lolote...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Back
Top Bottom