Baada ya maumivu makubwa waliyoyatengeza wenyewe kwa kukusudia kabisa, umeua,umeteka,uwewapa kesi feki wakosoaji wako, umeua demokrasia ,umeiba uchaguzi wazi wazi bila aibu, amani ni matunda ya...
Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo
1. Utangulizi
Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu...
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu...
Hizi siasa zifanya kazi hivi
👇👇👇👇👇
Mimi ni kiongozi ukifika wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu natumia njia zozote zile ili nishinde nafanikiwa- baada ya hapo ni wazi...
Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua...
Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la...
Katika bara la ulaya Karne ya 19 Jina moja lilikua linatisha...
Chancellor Klemens matternich alitawala kwa miaka 27 (1821-1848)
Huyu bwana alitengeneza mtandao mkubwa wa upelelezi, uliosukwa...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lililoketi kwa siku 4 kutafakari kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 limeonesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya kinyama ya watanzania, na...
Kwako Rais wa JMT,
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia...
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu...
Watanzania sio wajinga hakuna cha Tume wala nini unaunda tume kwenye mambo ambayo yako wazi.
Tupe kwanza majibu ya tume uliyounda kuchunguza kifo cha mzee Ally Kibao?
Nashangaa...
Yaani nimesikitika mno mno kusikia leo umewasamehe wale majambazi walioshikwa eti walifuata mkumbo?
KWELI? mbona hawakwenda kuchoma jeshini kama ilikuwa ni ufuata mkumbo?
SAMIA SAMIA SAMIA mara...
GTs,
1️⃣ Matukio ya tarehe 29–30 Oktoba yameacha jeraha kubwa nchini. Watanzania wanataka ukweli, uwazi, na uwajibikaji. Hakuna taasisi, cheo, au mtu yeyote aliye juu ya uchunguzi.
2️⃣ Kauli ya...
Jana nimeangalia kipindi cha MAlumbano ya Hoja ITV, mwanzo hadi mwisho. Si kawaida yangu sana kutazama ila jana nimekimaliza. Niwapongeze wote waliohudhuria na kutoa maoni yao katika mjadala ule...
1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa...
Hili swala nilitaka kuliongelea mda mrefu sana hasa kwenye swala la mbunge wa babati alichomfanyia kijakazi wake nikaghairi
Ila siku za karibuni nimeona mijadala mingi kuhusu Director of Public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.