Habari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya kupitia page zao WALIKANUSHA eti ni FEKI.
Kitu ambacho kiliibua hasira kali na watu kuanza kushambulia page zao. Aibu ikawaingia WAMEFUTA POST ZAO ZA KUKANUSHA.
Yaani wauaji bado mtahangaika sana ila mwisho wenu ni mbaya sana.
Naam 9 December tutakuwepo!