Ki msingi naona Kuna a well calculated plan.
Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29...
Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29.
Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?.
Mh Polepole umemteka .
Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya...
Hili ni gumu kuliko yote. Kuna watu wameanza kumharibia Mama wakati ana uwezo wa kujiharibia. Wanazuia miili ya waliokufa isitolewe, wanazuia takwimu za waliopotea zisijulikane. Wanatisha...
Wakuu,
Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na...
Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote.
Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa...
Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli?
ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI...
Wakuu,
Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia
"Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya...
Nimesikia kauli ya Samia, ambaye alijitangaza urais kwa nguvu, halafu anatukebehi kutoa pole kwa "tukio" yaani sijaona mtu mbumbumbu kama Samia na her cabal, wametuteka, kutesa, kubaka, kulawiti...
Mama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda.
Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe.
Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na...
Nimekuwa najiuliza sana sipati jibu, kwanini January Makamba aliamua kumuuliza Mzee Butiku swali la kijinga hivyo? Eti kwanini serikali ya awamu ya kwanza haikujenga shule nyingi za sekondari...
Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention.
Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali.
Tarehe 9 .12...
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
Wanabodi,
Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao.
Wahusika wanapaswa kuwa macho na...
Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma.
Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann...
Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano!
Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu...
Kuna vitu vinachekesha sana..!! 😹😹😹
Hivi lengo la waarabu na wamisionari kuleta dini Africa ilikuwa ni nini?
Sheikh, Sharifu Majini (GTH)
Sheikh Jongo
Masheikh wa Bakatwa
Sheikh Mwaipopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.