Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili...
Waziri Mkuu Mwigulu afika na mkewe kanisani Usharika wa Kisasa Dodoma na ulinzi mkali, afikisha salamu za Rais Samia Amani
https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
Wakuu,
Nini kinaendelea huko kwenye mbogamboga?
Kati hali ya kawaida kwa jambo ambalo serikali imetoka kukanusha media hasa hizi ambazo zipo kwenye malipo hubeba jambo chapchap na kusambaza...
Maisha ya wateule yapo hatarini sana .
ROHO YA KISASI imestawi mno.
Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana .
Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na...
Ni ukweli usiopingika sasa kwamba kuna "familia" ilipata nafasi na sasa imeamua kushikilia kila kilichomo ndani ya nchi hii
Inasemwa katika simulizi kuwa, Mzee Kambarage aliwahi kuonya kwamba...
Kwa wanaoitakia mema Tanzania, nashauri tuwe wakweli. Serikali ya sasa ni batili na haramu. Hivyo, nashauri tuunde serikali ya mpito kama walivyofanya Bangladesh na Nepal ambapo serikali ya mpito...
Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!
Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?
Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia...
RE: NOTICE OF DEMAND FOR RETRACTION, APOLOGY & PAYMENT OF DAMAGES FOR DEFAMATION AGAINST HON. GODBLESS JONATHAN LEMA
We act for Honourable Godbless Jonathan Lema (“our Client”).
It has come to...
Naona hata nikongeza maneno yangu nitaharibu
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Sasa ni hivi ingieni kwenye page ya Hilda Newtown. Lazma utype jina la account yake zima...
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy...
Wakuu,
Mbona kama hili suala limechukuliwa serious sana na? Sasa TEC wanahusikaje na hoja za wanasiasa?
Kosa la TEC ni kukemea mauaji?
"Haya yametokea kwa sababu hatuna wanasiasa sasa hivi tuna...
Wanamjengo,
Kuna matukio makubwa Trump kafanya leo terehe 21 March, kwa kusaini executive order ya kuvunja Department of Education na pia kutangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wa idara ya...
Kamanda Almachius Mchunguzi amewataka waandishi wa habari kuwaita watu ambao wanaweza kuongea kwenye vyombo vyao vya habari wanaoaminika na kuwasihi vijana kuacha kufanya mambo yasio sawa ya...
https://www.youtube.com/watch?v=_6uZjtRfs40
Kuna video nyingi zinazunguka mtandaaoni ambapo Wazanzibari wanasema hawataki muungano na wanataka nchi yao. Wanahoji zilipo hati za muungano.
Je...
Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa.
Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.