Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata...
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa...
Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kuachiliwa huru kwa watu wote waliokamatwa au kushikiliwa kutokana na tuhuma zinazohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mratibu...
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi katika kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania)
Aidha Majambazo hayo yametimua na...
Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao.
Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na...
Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila...
Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili...
Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame
Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele
Nawaambia Samia...
Ufuatao ni mgawanyo wa Baraza jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika Serikali inapiga hatua kubwa mno. Serikali inapambana kuwaletea maendeleo Watanzania wote
DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (Examinational officer) wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT) .Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA). Uteuzi...
Tume!!!!
Siamini aisee. Kwa hiyo SADC wana Tume yao, serikali ina Tume yake?
Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa title yake ya SADC badala ya title aliyokuwa nayo wakati haya yanatokea...
1. Achia watu waliotekwa.
2. Achia watu waliofunguliwa kesi za kijinga.
3. Weka katiba mpya yenye matakwa ya sasa.
4. Acha kulilia mali kuliko uhai wa watu.
5. Ongea lugha ya kuridhiana sio...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sioni namna gani Samia anaweza kujiuzulu halafu mambo yakaisha. Video na picha zinazoendelea kutoka sasa hivi na zile zitakazotoka baadaye zinatudokeza uzito, ukubwa na uovu...
Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri.
Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri.
Hivyo...
HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA
Wote ni Wanajeshi waliokulia Jeshini na kuingia kwenye uongozi wa kisiasa.
Wote walitengeneza mitandao ya Kimafia iliyoamua nani awe nani kwenye Mataifa yao kwa miaka...
Waafrika wenzangu Tanzania, nakutaarifu kuwa hii ni nafasi ya mwisho ya kurudisha uhuru wako, nakuandikia barua ya wazi #GEN_Z, mahususi kuonyesha madhara ya hatari utakayokumbana nayo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.