Kutokana Na mabadiliko ya SIASA zetu na Muungano unavyokwenda ni wazi kabisa tunatakiwa tusimame pamoja wananchi wote Tanzania bara kuirudisha Tanganyika.
Muundo wa Sasa inaonyesha ni jinsi gani...
Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha...
Wanu mbona kama anajitetea sana! Ety anazijuwa shida maana urais wenyewe ni wameupata jana tu
===============
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa...
Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA...
Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo.
Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98%...
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27...
Novemba 2, 2025
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) imepokea taarifa ya utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 29, 2025, na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania na Tume ya...
Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi.
Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu...
Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa??
Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani...
Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania.
Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo si za Muungano ni zile ambazo ziko chini ya Serikali ya Zanzibar na hazihusiani moja kwa moja na masuala ya Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar...
Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo...
Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na...
Hili Halina cha Saliatume , Wala Cha MARIDHIANO.
Yoyote alohusika Kuwaua Watanzania Atafikiwa tu !!.
Uzuri sisi tumeshaziea Misiba na Maumivu , sisi ni watoto wa Mafukara, Hapa Duniani hatuna...
Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani
Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati...
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama...
Habari wakuu,
Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada.
Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.