D9 ni Mtego mwingine kwa Polisi na Vyombo vya Dola?

D9 ni Mtego mwingine kwa Polisi na Vyombo vya Dola?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,915
Reaction score
18,554
D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu.

Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto wadogo wengine walikua nyumba wengi kwenye vibanda vya mpira na dunia yote imeona Mpaka boss wa UN amesema uchunguzi unaitajika.

Ivyo basi wananchi wana hasira na visasi usione wameamua kuandamana na Mabango rohoni wana maumivu na chuki kubwa sana kwa hiyo Police inatakiwa kua makini sana ni mkijitingisha mkaleta vurugu D9 tunaweza kuja kupoteza taifa kama utani utani ni vyema professional ifanye kazi

Na dunia nzima inatazama D9 kutokana na kilichotokea October 29 Kutokana na Historia ya taifa huwa linatambulika kwa Aman wote wanashangaa na Wanatazama kwa Makini na Umo kuna maadui kuna wezi katika watazamaji busara zitumike

Kila kheri katika Kulijenga Taifa
 
Ulimwengu wa binadamu uongozi ni heshima na utukufu

Yaani ile mtu kujikuta una mamlaka ya kusemea wengine na wakakutii ukajikuta mjuaji.! 🤭

Lakini katika ulimwengu wetu sisi wengine uongozi ni laana ya kukwepa kama UKOMA

kwakuwa vitu vinavyoelekea kwenye ncha ya juu ya pembe tatu viko karibu na kutupwa kama taka.! Vinapotezwa kwenye hii dimension na kuanzia upya kwenye ukavu mpya

Epuka uongozi upuka chochote kinachofanana na hicho ni laana penda usipende

Watu walio katika uongozi ni kizazi cha mwisho kwenye familia zinazotakiwa kupotezwa kwe eneo letu la maisha ya kidunia na kupewa nafasi za mwisho kujithibitisha na zikishindwa hakuna tena tena tena

So uongozi ni umbuzi wa kafara na ana heri yeye afaye akiwa anakumbukwa kwenye mioyo ya watu kwakuwa damu yake na familia yake Inapata nafasi mpya ya kujithibitisha upya.! 😎
 
Back
Top Bottom