PostGE2025 Nchi ya 'smash and grab' wengine wanagawana miili, wengine wanagawana Madaraka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,728
Reaction score
11,953
Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa.

Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka kina Suzan Mungi na wengineo. Baada ya 2015, TZ tuzo za Kimataifa za uandishi ni kama zilienda na maji.

HUKUMU za Mungu ni za kweli na haki. Lakini usiache kusikiliza maoni ya watu. Wakikuonya usiseme wanakuhukumu.

Wakati mwingine Mungu hutumia watu kuonya kabla ya yeye kutoa hukumu.

Vijana wengi katika wa Tanganyika wamekuwa wa kufanya na kusahau……kulikuwa hakuna haja ya kujadili ujinga wote wa Serikali hii ya kimbali. Tumekuwa mashaidi kura zilivyopigwa, tunakenua meno tu kama wajinga.

kama kwenye mzunguko wa ndugu, Jamaa, Marafiki na Majirani huna msiba au mtu kajeuriwa, au mtu kapotea, au mtu ana kesi, basi upo dunia yako. Lakini siku yako na wewe inakuja.

Kuzoesha Watawala kufanya mambo ovu bila Madhara ni kujenga tabia endelevu.
Kitambo walikua wanaiba kura,wakaona haina shida,wakaja kuwa wanapora Mchakato mzima, wakaona haina shida, haya wamepiga live bullets watu, nalo litapita na litazoeleka, badae watabadili na katiba.

Tusiwe wajinga. D9

Mr mkiki
 
erupting-volcano-isolated-transparent-background-mountain-erupts-hot-lava-ash-active-magma-flo...jpg
ni heri upatwe na kichaa ukagaregare kwenye volcano kuliko kuweka mguu wako road tarehe 9 Disemba
 
Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa.

Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka kina Suzan Mungi na wengineo. Baada ya 2015, TZ tuzo za Kimataifa za uandishi ni kama zilienda na maji.

HUKUMU za Mungu ni za kweli na haki. Lakini usiache kusikiliza maoni ya watu. Wakikuonya usiseme wanakuhukumu.

Wakati mwingine Mungu hutumia watu kuonya kabla ya yeye kutoa hukumu.

Vijana wengi katika wa Tanganyika wamekuwa wa kufanya na kusahau……kulikuwa hakuna haja ya kujadili ujinga wote wa Serikali hii ya kimbali. Tumekuwa mashaidi kura zilivyopigwa, tunakenua meno tu kama wajinga.

kama kwenye mzunguko wa ndugu, Jamaa, Marafiki na Majirani huna msiba au mtu kajeuriwa, au mtu kapotea, au mtu ana kesi, basi upo dunia yako. Lakini siku yako na wewe inakuja.

Kuzoesha Watawala kufanya mambo ovu bila Madhara ni kujenga tabia endelevu.
Kitambo walikua wanaiba kura,wakaona haina shida,wakaja kuwa wanapora Mchakato mzima, wakaona haina shida, haya wamepiga live bullets watu, nalo litapita na litazoeleka, badae watabadili na katiba.

Tusiwe wajinga. D9

Mr mkiki
Wametudharau sisi kupita kiasi, hadi wakaona ni kawaida kuwatoa ndani ya vyumba vya kuhesabia kura waangalizi wa SADC, EAC na Africa Union. Aibu haijawaisha, na hii ni kwa sababu, walitu-underestimate watanzania, wakatuona wajinga (Ni kweli sisi ni mapumbavu) wakaona wanaweza kufanya wanayoyafanya bila kubughudhiwa, wakateka, wakatesa, wakabaka, wakafiri na kulawiti, halafu wanawapiga mkwara hao wote waliowafanyia hivyo vitendo.
Sasa juzi watu wamekasirika, hatujali bunduki au Vifaru, mizinga, RPG, Himars, waje nazo kama ni kufa tumeshakufa tayari kwenye nchi tunayochokuliwa na kuuliwa kama kuku.
Tukiwaachia waendelee, ABDUL na cartel wenzake wataendelea kututeka na kutupoteza, hakuna wa kutusaidia, jeshi ndilo la ovyo, huyo Jenerali Nkunda, ni mtu wa ovyo na ameruhusu yote kutokea, asingekuwa yeye, sasa hivi huyu mama angekuwa tayari ana pingu gerezani ananyea ndoo, Abdul na washiriki wenzake wangekuwa jela au wameshahukumiwa vifo. Lakini mkuu wetu wa majeshi alichaguliwa pale kama hisani na Kikwete, anaogopa, na ataendelea kulipa fadhila kwa SAMIA na Kikwete.
 
Back
Top Bottom