Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ilivyotoke kwa makanisa ya Gwajima. Wanaangiza taharuki kwa jamii
3 Reactions
31 Replies
954 Views
Hotuba iliwalenga vijana sana sijajua ilikuwa kwa makusudi au bahati mbaya . Nahisi vijana wamekuwa kundi lilosahulika. Jaribuni kujua mahitaji ya msingi na muwapatie. Kuwapa waziri sifikirii...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA...
1 Reactions
9 Replies
265 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi...
5 Reactions
9 Replies
446 Views
Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo...
125 Reactions
220 Replies
11K Views
Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo...
3 Reactions
113 Replies
5K Views
Yaani akiinuka nchale akiinama nchale Keshaharibu Kenya hawezi kwenda Ulaya na Marekani keshavuruga Huku ndani anakabwa kila kona, yaani hana amani hata ndani ya chama chake Watumishi...
49 Reactions
82 Replies
4K Views
Tulimwita mwanademokrasia Tukamwiita mwanamageuzi Tukasifu uhuru tz umerudi Tukasema no kutekwa tena Tukasema sahivi ufisadi kwisha maana ripoti zitasomwa na watu watachukuliwa hatua Kumbe...
41 Reactions
103 Replies
5K Views
Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma. MY TAKE: Twendeni kwa wingi...
18 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi ndugu zangu kwanini tusianzishe boycott dhidi ya wanaounga mkono dhulma zinazofanywa na SSH na genge lake? Mfano kususia bidhaa za matajiri wanaosapoti huu utawala Kuacha kuwasapoti...
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda husema kweli. Haya yasingetokea waumini wengi sana wasingejua upande wa makanisa yao
1 Reactions
4 Replies
186 Views
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma...
3 Reactions
13 Replies
353 Views
Munishi anazidi kuipeleka CHADEMA kimataifa, kuna kitu anazidi kukijenga zaidi ndani chama chake! ================= Leo mjini Rust, Ujerumani pembezoni mwa mkutano mkuu wa Junge Union, Katibu wa...
6 Reactions
5 Replies
233 Views
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block Sasa tuone atablock wangapi? Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+ Tutaendelea...
26 Reactions
72 Replies
4K Views
MATAMKO, JE, YANAJENGA AU KUZIDISHA UFA? JE, YANAPONYA AU YANAZIDI KUTONESHA? NAJARIBU KUTAFAKARI.-TAFAKURI YA SHEIKH SHAMS ELMI. 1. Utangulizi Katika mazingira ambayo Taifa letu linapitia...
1 Reactions
1 Replies
147 Views
Kuna usemi uliozoeleka na wengi ya kwamba damu ya mtu haiendi bure, Ukiitizama Kwa makini utagundua Kuna namna fulani mama amepatwa na mfadhaiko Kwa yaliotokea,ameshaanza kutoa kauli...
8 Reactions
16 Replies
527 Views
GTs 1. Kwenye mijadala ya sasa kuhusu hasira, maandamano na maumivu ya kile kilichotokea tarehe 29–30 Oktoba 2025, kumekuwa na dalili za uhasama unaoelekezwa kwa watumishi wa umma, miundombinu ya...
6 Reactions
39 Replies
925 Views
Back
Top Bottom