Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa. Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda...
24 Reactions
50 Replies
1K Views
Dereva wa bajaji anaeleza kuwa baada ya kumpeleka abiria wake aliyepigwa risasi na kuvunjika niguu yote, alikamatwa, akapigwa sana kisha kuingizwa mahabusu. Ndani ya mahabusu, alikuta watu...
4 Reactions
13 Replies
634 Views
Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa...
2 Reactions
1 Replies
272 Views
Hawa watu hawa! Wameona wakitaja ifadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa wana confirm kile watanzania wanasema kwamba ile asilimia 97 ni mtu.tu.alijiandikia.na kutangaza
1 Reactions
0 Replies
194 Views
OCD wilaya ya Chunya ametoa wito kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kutowauzia bodaboda petroli zaidi ya lita moja kwani wamekuwa wakiyatumia kufanya uhalifu ikiwa pamoja na kuchoma majengo.
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema kauli ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano ya Oktoba 29 ni ya kubeza maumivu ya familia zilizofiwa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa. Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amerejelea Mkutano wa Wazirir Mkuu Dkt. Mwigulu na wahariri wa Vyombo vya Habari...
2 Reactions
3 Replies
284 Views
Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo...
1 Reactions
0 Replies
146 Views
Julius Nyerere Rashid Kawawa Edward Sokoinne (mara mbili) Cleopa Msuya (mara mbili) Salim Ahmed Salim Joseph Warioba John Malechela Frederick Sumaye Edward Lowassa Mizengo Pinda Kassim Majaliwa...
11 Reactions
22 Replies
748 Views
Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara...
3 Reactions
7 Replies
561 Views
Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu. Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote...
1 Reactions
5 Replies
348 Views
GT Hii dunia ina maajabu Huko kwake hali ni tia maji tia maji kaanza kujisafisha ahahaa Samia kabaki solemba kudadadeki na bado.
6 Reactions
11 Replies
594 Views
Kupitia ukurasa wa Instagram, Mwanaharaki ambaye pia ni kada wa CHADEMA, Twaha Mwaipaya, ameandika kuwa waandishi wa habari wa digital media wameitwa Ikulu na kupangiwa mkakati wa kuanza kampeni...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivi kila leo huwa najiuliza Serikali yetu ilikurupuka kuwapa uraia hawa ambao hivi sasa waitwa Watanzania ambao wana asili katika nchi za majirani zetu? Je uamuzi ule ulichuliwa zaidi kutokana na...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Kumbe JK alikuwa anajua nini anakiongea. na Maaskofu kumbe walikuja juu baada ya kuona source yao kubwa sana ya hela inapotea, bila ya kujali ya kuwa wanaliangamiza Taifa.. By Rodgers Luhwago...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mussa Azzan Zungu, pamoja na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed, walikutana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe...
0 Reactions
7 Replies
386 Views
Katika pitapita za mtu mweusi, tunakubali uongozi ni kipawa kwa maana usmart na kushawishi watu Lakini kweli kwa namna hii mawe yanahitaji kugeuzwa
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Back
Top Bottom