Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 565
- 526
Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote.
Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu
Kwamba, Ninaungana na watanzania wote wapenda haki waliopoteza ndugu zao 29 October bila kujali kabila, dini, rangi na itikadi ya mtu.
Kwamba Nitaungana na watanzania wenzangu wote na Dunia Kwa ujumla tar. 9 disemba kuipigania nchi yangu Kwa kuandamana, kutoa taarifa za Siri za wauaji wa Tanzania.
Kwamba, Tanzania mpya imekuja Na Tanzania haitakuwa kama ilivyokuwa mwanzo Tena.
EEEEE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE