Script hizi yani mpaka sasa kuna mtanzania anakusemea kuwa unachama cha utanzania acha cha boda boda,vyama pinzani na vengine.
Ile script ambayo kiliitsha vyombo vya habari kuwa chama kidini leo...
Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi.
Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu...
Serikali imetenga Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mawenzi, hatua inayolenga kuboresha huduma na kuondoa changamoto ya...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amevitaka vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini kurejesha kozi za muda mfupi za kilimo na ufugaji zilizokuwa zimesitishwa, ili...
Naona mnataka kuleta propaganda uchwara hapa kuwa eti anapingwa sababu ya dini yake. Na tatizo ni Wakatoliki na akina Gwajima.
Nyie mnaunga mkono ufisadi?
Mnaunga mkono utekaji?
Mnaunga mkono...
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifwamba, ametoa onyo kali kwa wanachama wa CCM ambao watakuwa kikwazo cha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Hamjambo Wote!
Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana...
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na...
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi.
Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri...
Mimi simtambui raisi maana kituo changu kilichomwa moto na maboksi nimeona ila nashangaa diwani wa ccm kushinda kwa kura 9000 wakati eneo ilo hata hiyo idadi hakuna.
Kama mtakuwa na kumbukumbu...
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome.
Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote...
CDF wa jeshi ni kitu kikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max.
Kwa mauaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado...
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
Ni wazi viongozi wa Tanzania wanajiamini kupindukia na wanajiona wako sahihi kujilimbikizia mali kwa kuwaibia waTanzania hadi kuwauwa.
Ni vyema sasa wananchi kutumia mbinu ya kuharibu mfumo wao...
Mauaji bado yanaendelea na utekaji unaendelea japo hatujuani humu ila rais anazidi kujilinda.
Sehemu yenye ulinzi mkali ukiona ujue wamezikwa watu na mpaka sasa ICC imezuiwa kuingia TZ ipo...
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha...
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika...
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI
Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa...
Ninyi mnajua kuwaua watoto wa watu halafu mnajisifu. Mliua ndugu zetu kama mbwa. Mlitisha sana, mkajiona hamfi, hamuguswi, na kwamba nyinyi ndiyo mna bunduki. Lakini mtajua tu.
Tukitoka mkatuue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.