Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Mauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
0 Reactions
17 Replies
420 Views
Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni...
1 Reactions
3 Replies
272 Views
Maelezo machache sana bila kuathiri mikakati ya msingi . Siku moja nyuma kabla ya jana nilikuwa na uadui wa wazi kabisa na kila aliyekuwa mwanaccm ,niliamini kila mwanaccm ni mnufaika wa huu...
4 Reactions
8 Replies
413 Views
CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
2 Reactions
3 Replies
214 Views
mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za...
2 Reactions
4 Replies
391 Views
Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje? Ni baadhi...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/ Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
1 Reactions
30 Replies
848 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo...
0 Reactions
12 Replies
556 Views
Salut kwenu great thinkers wote wa JF. Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi...
3 Reactions
12 Replies
329 Views
Makada wa ACT-Wazalendo Kigoma Mjini waliojitambulisha kama wapiga kura wa Jimbo hilo Hamisi Mwitu, Johari Ali Kaburu, Luma Hamisi Akilimali na Pendo Kombolela wamezungumza na vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara...
3 Reactions
3 Replies
298 Views
Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea...
1 Reactions
2 Replies
200 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
1 Reactions
25 Replies
632 Views
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni...
19 Reactions
40 Replies
1K Views
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla...
15 Reactions
112 Replies
4K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Yule dada ambaye msingi wake mkuu ni kuolewa na wazungu. Ndio kakamata akili zao. Anaiharibu hii nchi akiwa na wazungu wake huko ulaya. Wanaoumia ni watoto wenzake wakwake wako salama huko...
5 Reactions
42 Replies
940 Views
Back
Top Bottom