Afrika inajulikana kuwa na marais wanaokaa madarakani kwa muda mrefu kama, Yahya Jammeh wa Gambia, Robert Mugabe wa Zimbabwe, na Yoweri Museven wa Uganda, Kwa Afrika ni nadra sana rais kuondolewa...
Kupitia kwenye ukurasa wake wa X Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameeleza kwa namna bajetu ya CNN katika sekta ya utafiti, investigative journalism, digital investigation.
Hii...
Ninajua kwa wanawake hata kuangalia filamu za action ni hawataki sasa mnawezaje kuangalia video za waliopoteza maisha kwenye maandamano?
Mnawezaje, ninyi wadada?
Kuna mmoja, nilimkuta mmoja...
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu.
"Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za...
Hii tabia ilyoibuka hivi sasa ni ya ajabu sana kila napovuka mkoa mmoja kwenda mwingine wabakakugua kitambulisho cha NIDA nakuniuliza naenda wapi, hii tabia haikuwepo kwasasa naona mambo...
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa...
Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!!
Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda!
Kuna...
Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume...
Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29
=
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu...
Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015
Sasa kama mjuavyo mheshimiwa...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili...
Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka.
Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini.
Sasa...
GT
Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers.
Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya...
Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara!
Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa!
Aueleze umma, kama hana kitega uchumi...
Wakuu,
Haya mambo tunggeambiwa kwamba yatatokea Tanzania miaka miwili nyuma basi tungebisha
Ila hapa ndo tumefika kama taifa
Huyu binti anaitwa Dainess Raphael alikuwa ni fundi cherehani ambapo...
Friends and Our Enemies
hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma...
Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura amesema miongoni mwa changamoto watakazokutana nazo wahitimu wapya wa mafunzo ya awali ya Polisi ni pamoja na matishio ya ugaidi wa dunia, uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.