Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
6 Reactions
11 Replies
663 Views
Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya...
3 Reactions
4 Replies
474 Views
Nov 23,2025 Orodha ya matukio yanayoenda tokea aftermath MO29 ili kuwapumbaza GEN-Z NA na Wananchi kiujumla nilichelewa kuandika matukio haya awali nikiwa na mashaka either wataufuta uzi, naomba...
1 Reactions
17 Replies
901 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na...
2 Reactions
9 Replies
596 Views
Fedha zilizotengwa kwa ajili ya sikukuu ya uhuru zinaweza kurejesha miundombinu iliyoharibika lakini haziwezi kurejesha uhai wa vijana wetu waliopoteza maisha. Mheshimiwa Mwigu shikamoo. Kama...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama. Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
Freeman Mbowe kushoto na Dr. Wilbrod Slaa Humu duniani kuna mambo mengi sana yanayopingana. Yapo ya kushangaza, yapo ya kuchukiza, yapo yanayokera na kuchefua roho, yapo ya kufurahisha na...
62 Reactions
201 Replies
17K Views
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na...
23 Reactions
21 Replies
1K Views
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Mkoa wa Mwanza umeiomba Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi kufanya uchunguzi kwa...
1 Reactions
28 Replies
782 Views
🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA ...
0 Reactions
13 Replies
673 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa...
1 Reactions
18 Replies
727 Views
Tanzania ni Taifa la kipekee sana, Tanzania ni Taifa lenye watu wa tofauti na mataifa mengine Africa. Tanzania ni rahisi sana kupata sapoti kubwa Kwa jambo dogo tu unalolifanya kwa uzalendo na...
0 Reactions
3 Replies
359 Views
Genz hawapoi. Wamekuja na madai mengine mapya kuwa watoto wa spika wa bunge, Zungu waliomba uraia wa Belgium kama wakimbizi kutoka Somalia. Cha kushangaza zaidi wamepewa NİDA hapa nchini. Wamempa...
18 Reactions
30 Replies
1K Views
Niko "mashenzini" huku mabonde kuinama, ambako mtandao ni wa kupanda juu ya mti kuupata. Lakini wanajua D9. Tena vizee! Nimeogopa!
8 Reactions
8 Replies
598 Views
Polisi wanapiga mabomu ya machozi. Kuna gari limepigwa bomu mpaka limefumuka =================================== UPDATES KUTOKA KWA MEMBERS WENGINE =================================== Polisi...
42 Reactions
1K Replies
86K Views
Sio tu sherehe za uhuru haitofanyika bali Christmas na mwaka mpya hazitakuwepo wala nywi nywi sasa kama wananchi wamesema unabisha.
3 Reactions
11 Replies
551 Views
Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au...
4 Reactions
9 Replies
363 Views
Impliedly ni kuwa Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwetu wameshindwa kulinda mipaka ya nchi hii. Raia wa kigeni wanaingia nchini wakiwa na silaha za kivita kisha wanawachochea...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo...
15 Reactions
24 Replies
991 Views
Back
Top Bottom