Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni


Informer

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Messages
1,332
Likes
3,321
Points
280
Informer

Informer

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2006
1,332 3,321 280
33f2805b-d2a1-4452-8d20-5b10b3a5201c-jpeg.1045796


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari anadaiwa kuvuliwa ubunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya bunge, jambo ambalo ni kinyume na sheria na taratibu za Bunge.

Nafasi yake imebaki wazi.

b38b9906-b0f0-48c7-ab39-00a4530e08d6-jpeg.1045633


UPDATE:

JamiiForums imemtafuta Mbunge huyo ambaye amesema hana taarifa rasmi naye ameona taarifa zikisambaa mitandaoni.

Aidha, ameifahamisha JamiiForums kuwa mapema Januari (tarehe 29) mwaka huu aliwasiliana na Ofisi ya Spika na kueleza juu ya kushindwa kuhudhuria vikao vya Bunge.

Sehemu ya Barua yake kwa Spika inasomeka:

Dear Mr. Speaker.

REF: PARLIAMENT PROCEEDINGS

I am writing to keep your esteemed office informed that, I amregrettably unable to attend the currently ongoing Bunge proceedings because of circumstances beyond my reach.

For quite sometimes now, I have been attending my significant other who is receiving medical attention outside the country. The good news is, she managed to give birth to a healthy baby girl two days ago.

However, her medical specialists have advised that they will need to closely monitor her progress for couple of weeks before we can make our way back to the country.

I reiterate my desire to attend the upcoming sessions as scheduled upon my return.


All my Best,

Joshua Nassari (MP)

ec6b890f-659d-4cc3-9355-7811cd673f4d-jpeg.1045797
 
For the English Audience
Joshua Nassari, Member of Parliament for Eastern Arumeru constituency has lost his seat in the parliament after missing three consecutive sessions without any notification to the Speaker as a legal requirement.

A statement released by the office of National Assembly, says that it has already written to the National Electoral Commission informing them that Nassari's Constituency is vacant and it is now up to them to arrange for a by election.

Nassari missed the 12th (September 4 - 14, 2018), 13th (September 6 - 16, 2018) and 14th (January 29 - February 9, 2019) Parliamentary sessions.

Nassari has told JamiiForums that he has not received any official information about the matter apart from seeing the news circulate on social media.

He also said he sent an official letter on January 29, 2019 explaining his absence to the Speaker's office. In the letter (attached above) he states that he had been attending to his spouse who was admitted outside the country.
mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
600
Likes
1,256
Points
180
mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
600 1,256 180
Habari ndo hiyo
 
American Ninja

American Ninja

Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
46
Likes
42
Points
25
American Ninja

American Ninja

Member
Joined Apr 18, 2018
46 42 25
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania, Job Ndugai amemuandika barua, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Semistocles Kaijage kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa sasa liko wazi kufuatia, Mbunge wake Joshua Nasari ( CHADEMA) kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo na hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge.
fb_img_1552574457746-jpeg.1045634
fb_img_1552574450331-jpeg.1045635


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
1,503
Likes
977
Points
280
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2011
1,503 977 280
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania, Job Ndugai amemuandika barua, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Semistocles Kaijage kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa sasa liko wazi kufuatia, Mbunge wake Joshua Nasari ( CHADEMA) kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo na hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge. View attachment 1045634 View attachment 1045635

Sent using Jamii Forums mobile app
Huh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,618
Likes
2,004
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,618 2,004 280
#BREAKINGNEWS Mbunge wa Arumeru(Chadema) Joshua Nassari amepoteza ubunge wake kwa kutohudhuria vikao vya mikutano mitatu ya bunge mfululizo.
 
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,165
Likes
1,200
Points
280
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,165 1,200 280
Huyu Ndiyo Jiwe, sidhani kama alizaliwa kama Binadamu wengine wanavyozaliwa! Kwakila Jambo hakika kuna Mshahara Wake, atalipwa kadiri ya anavyowatendea Wengine.
Wakulaumiwa Hapa ni Nassar kwa kutoudhuria vikao vya bunge!
Pia nimemwona siku za karibuni amekuwa mkimya sana.
 
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
4,989
Likes
3,211
Points
280
Age
49
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
4,989 3,211 280
Bado tunasubiri na mengine
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,532
Likes
7,139
Points
280
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,532 7,139 280
Kama Ndugai ametumia sheria hilo ni sawa kabisa. Labda CCM na Chadema wote watajifunza maana ya utawala wa sheria hapo. Najua wengi watasema Ndugai asingefanya hivyo kama Nassari angekuwa mbunge wa CCM. Mkisema hivyo mtoe mifano ya mbunge wa CCM aliekosa mikitano mitatu vya Bunge mfululizo bila ruhusa ya Spika na hakuachishwa ubunge.
 

Forum statistics

Threads 1,273,480
Members 490,421
Posts 30,482,840