Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,170
Reaction score
60,528
MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha.

Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke matumaini makubwa kwa JWTZ lilitusaliti, tutoke tukijua tupo peke yetu na Mungu wetu.

Kama wao (JW) wanaogopa kuikomboa Tanganyika kwa sababu zao wabaki kwenye makambi yao watuachie hiyo kazi sisi wananchi tuwasaidie. Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao.
 
MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi mbele yao bila msaada wowote. Inasikitisha.

Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke matumaini makubwa kwa JWTZ lilitusaliti, tujue tupo peke yetu.

Kama wao JW wanaogopa kuikomboa Tanganyika kwa sababu zao watuachie hiyo kazi sisi wananchi tunaweza. Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao.
Sitegemei nyumbu kudanganyika tena na nyinyi keyboard warriors. Hatujaona hata mmoja aliyepigwa risasi au hata kukamatwa kati yenu wapiga story wa humu JF. Acheni kuwadanganya watoto wa watu wamesamehewa sitegemei tena wakasikiliza utoporo wenu.
 
JWTZ(TPDF) ni uozo flani uliojaa mijitu mifala na mioga mpaka inatia kinyaa, soldiers kabisa wanatetemeshwa na polisi? Strong and fearless soldiers walienda na Mchonga, hawa waliopo ni mashoga tu, hata TISS ni takataka flani zisizojitambua.
 
Wewe ndio takataka tena za chooni.
 
Sitegemei nyumbu kudanganyika tena na nyinyi keyboard warriors. Hatujaona hata mmoja aliyepigwa risasi au hata kukamatwa kati yenu wapiga story wa humu JF. Achane kuwadanganya watoto wa watu wamesamehewa sitegemei tena wakasikiliza utoporo wenu.
Mlimdanganya mama yenu asiwe na wasiwasi hao ni keyboard Worrious hawatatoka, mnarudia tena kosa lile lile.

Mnampa presha bure mama yenu hadi kaogopa kutoka kuja kuwashukuru wapiga kura wake.
 
MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha.

Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke matumaini makubwa kwa JWTZ lilitusaliti, tujue tupo peke yetu.

Kama wao JW wanaogopa kuikomboa Tanganyika kwa sababu zao watuachie hiyo kazi sisi wananchi tunaweza. Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao.
Kabisa waendelee tu kufungiwa kambini tu ,wenzao jana JW ya Guinea Bissau wamemuondoa Rais wao! Huku ndiyo kwanza wameridhika na 310,000/= iliyojaa damu kutoka KITIMOTO Samuya.
 
Mlimdanganya mama yenu asiwe na wasiwasi hao ni keyboard Worrious hawatatoka, mnarudia tena kosa lile lile.

Mnampa presha bure mama yenu hadi kaogopa kutoka kuja kuwashukuru wapiga kura wake.
Toka tarehe 9 ili mlielie tena ICC kama mnavyolia sasa.
 
Back
Top Bottom