Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,600
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

BUNGE LA ULAYA LAIJADILI TANZANIA LEO , LASEMA KAMA UCHAHUZI UTAFANYIKA NA BAADHI YA WASHIRIKI KUZUILIWA KUSHIRIKI KWA SBB ZA KISISA , EU WASITOE HATA KUMI KATI DOLLA MILIONI 8 WALIZO OMBA TANZANIA KWA AJILI YA UCHAGUZI👍

View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍

View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍

View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

Midomo ya kwao, muda wa kwao, hakuna namna tunaweza kuwapangia cha kuongea. Lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwa nchi huru kama Tanzania
 
Back
Top Bottom