Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua...
Baada ya kumsikiliza kwa makini huyu jamaa katika hizi ziara zake za hivi karibuni, nimejiridhisha kabisa kwamba kama alipewa nafasi hii kwa lengo la kufanya propaganda za kuunganisha taifa na...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa...
Uzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli.
Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja.
Wataanza...
Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba...
9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja
Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba
Ukifungua biblia zabur 9...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima amesema anashangazwa kuona Mamlaka zinathamini vitu kuliko uhai wa Watu ambapo wametoa takwimu za vitu...
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa...
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.
Nimesikia mwanaharakati mmoja...
TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu
TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani...
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume...
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!
Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia...
Nyie huyu Gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua Gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana...
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na...
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa...
Asshukuriwe Mungu Marais karibu Dunia yote ni watu wazima, wazee wenye busara.
Mimi ndo ningekuwa Rais na vijana waliotekwa akili na Mange kimambi wanashangilia vikwazo ningeigeuza TRA iwe jeshi...
Hamjambo Wote!
1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana.
2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme.
3. Au kuwa kiongozi...
"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.