fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,854
- 2,906
Habari Wakuu.
Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.
Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.
Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.
NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITIES ZIPI?