Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana. Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi. Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi...
66 Reactions
64 Replies
2K Views
Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake. Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam. Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu...
3 Reactions
2 Replies
244 Views
Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles...
3 Reactions
24 Replies
659 Views
Nimeangalia na kusilliza hotuba mbovu, ya mipasho, ubabe na ukosefu wa busara ya rais leo. Nimesikitikaka. Nimekwazika, nimchukizwa, na kuhuzunishwa namna Idi Amin Mama alivyoipoteza fursa ya...
9 Reactions
14 Replies
454 Views
Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao, Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu...
2 Reactions
10 Replies
332 Views
Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq. Sijui...
2 Reactions
13 Replies
448 Views
Uongozi wa taifa ni dhamana kubwa inayohitaji busara, utulivu na uwezo wa kutafakari kabla ya kutenda. Miongoni mwa sifa muhimu za kiongozi mkuu wa nchi ni uwezo wa kujizuia na kutodhihirisha...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu. Kwa...
1 Reactions
6 Replies
302 Views
Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya. Muendelee KUTEKA. Muendelee Kuua . Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima. Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo. Hiii inaitwa Tunakupiga...
3 Reactions
13 Replies
242 Views
Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!! Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania...
14 Reactions
14 Replies
591 Views
Vyombo kazi yao na kiapo Chao ni kulinda katiba, Maslahi ya Umma, Tunu za Taifa. Mpaka Sasa amevunja yote huenda vyombo vinashughulika nae bila yeye kujua. 1. Mamlaka ya nchi inatoka kwa...
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Unaona hasira, visasi , ukatili uliopitiliza, kukosa huruma, power mongering, a tyrant aggressive of power, uuaji, uporaji, kiburi cha madaraka, a blood thirsty woman and the like!
10 Reactions
25 Replies
940 Views
Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa...
2 Reactions
3 Replies
193 Views
Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote...
4 Reactions
2 Replies
225 Views
Back
Top Bottom