Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=z7VCFPIZqJk
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka...
8 Reactions
25 Replies
720 Views
(Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani)...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
Kwa muktadha wa utafiti wa kisaikolojia na tafsiri ya tabia za kibinadamu, ni dhahiri kuwa kiongozi wetu anadhihirisha viashiria vingi vya kupoteza uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi kwa...
8 Reactions
9 Replies
466 Views
Ameongea Sheikh mmoja ambaye ni mhadhiri wa kiislam kuwa kilichopo sasa ni vita ya katoliki dhidi ya uislamu, akaongeza kuwa katoliki wao wanapata ruzuku, lakini waislam wanajikongoja kujenga...
1 Reactions
27 Replies
746 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Yaani amesema ni yeye ndio ameua.. kwahiyo mtamfanya nini? Who are you.. Na atazidi kuwaua na hamtafanya kitu.. Kifupi wale wajumbe wa tume warudi majumbani wakacheze na wajukuu tu... Case...
3 Reactions
7 Replies
279 Views
UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM...
4 Reactions
213 Replies
11K Views
Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni...
13 Reactions
203 Replies
13K Views
Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake. Vizazi...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Nimemsikiliza, Kwa haraka haraka kuna vitu viwili au vitatu vinakuja ukiwa unamasikiliza kwa hotuba ya leo. 👉kwanza, anajibizana na wakina mama wenzie, hapa naongelea Mange na Maria Sarungi. Ni...
22 Reactions
27 Replies
1K Views
Pasipo shaka yoyote, Samia Suluhu Hassan kawaondlea mashaka waTanzania ni nani mhusika katika matukio mbalimbali ya hovyo yaliyotokea humu nchini tongia aingie madarakani. Pamoja na kwamba akina...
7 Reactions
8 Replies
371 Views
Desemba 2, 2025 - Dar es Salaam "Kiburi hutangulia maanguko, na roho ya kutukuza hutangulia maanguko." — Mithali 16:18 Leo, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa hotuba kwa wazee wa Dar es Salaam - si...
1 Reactions
6 Replies
558 Views
Hotuba nzima sijaskia suala la utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walioandamana siku ya Uchaguzi Ameongelea katiba Japo majibu hayaridhishi ila walau ameongelea...
2 Reactions
6 Replies
280 Views
Wakuu Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini...
7 Reactions
72 Replies
5K Views
Gen Z, Kama Mnataka D9 Ifanikiwe, Msikubali Kupotezewa Muda Wenu na Habil. Atakutoweni Kwenye Reli. Mtakosa Muda wa Kuweka Mipango ya D9 Sawa! Just a word of caution to Gen Z. Msiwe naive...
26 Reactions
75 Replies
2K Views
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of...
57 Reactions
77 Replies
3K Views
Hali ya taifa letu iko messed up kabisa. Kama situation iko hivi, ni clear kuwa hakuna taifa litakalokuwa led na kiumbe wa aina hii. Taifa lina slide sana na, honestly, hakuna cha kujivunia tena...
3 Reactions
5 Replies
277 Views
Nidhambi kudai Uji wa Mgonjwa. Ulimpa mgonjwa uji ili uje umsengenye. Huo sio Uislamu. Kitendo cha kumsimanga Lissu ni aibu kwake na dini yake
1 Reactions
2 Replies
145 Views
Back
Top Bottom