Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yote yanayo tokea sasa hivi ni sababu ya CCM na lawama zote sio apewe Samia Hassan suluhu. CCM ilitengeneza mifumo ya ovyo ambayo kila mtu akiwa kiongozi anajiona kashamaliza kila kitu, mtu akiwa...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025...
2 Reactions
3 Replies
416 Views
Mchawi ni wewe na timu yako Haiwezekani uwaletee wawekezaji watanzania kibabe kama ilivyokuwa kwa DP World Haiwezekani mzuie upinzani nchini kufanya siasa mkategemea inshallah Haiwezekani pawepo...
0 Reactions
5 Replies
340 Views
Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi...
10 Reactions
122 Replies
5K Views
https://dailynews.co.tz/tz-secures-1-6tri-landmark-cassava-investment-deal/
0 Reactions
25 Replies
555 Views
Licha ya nchi yetu kuwa tegemezi na ombaomba, vitu vingi tunaagiza kutoka nje zikiwemo nchi za Ulaya na Marekani. Sasa najiuliza, na hawa mabwana nao wakiamua kutunisha misulu kwa kupiga...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Huwa navutiwa sana na Kauli za Maamiri Wajeshi Wakuu (Marais) duniani hasa za Rais Paul Kagame wa Rwanda, Vladmir Putin wa Urusi, Yoweri Museveni wa Uganda, yule wa Korea ya Kaskazini na ya...
12 Reactions
95 Replies
2K Views
Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea! =================== Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Toka ndg Lameck Madelu ateuliwe kuwa PM amesababisha kero kubwa ya foleni pale anapotoka kwake na kurudi nyumbani. Nadhani ikiwezekana mamlaka impatie Nyumba huko karibu na mjini yaani Oysterbay...
2 Reactions
10 Replies
601 Views
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu leo wametoa tamko zito kuhusu matukio yaliyohusiana na matibabu ya majeruhi na usimamizi wa kesi za vurugu. Katika tamko lao, walianza kwa kujibu hoja iliyotolewa juu...
2 Reactions
24 Replies
849 Views
Baada ya mapambano makali ya kimya kimya hatimaye Hayati Rais John Pombe Magufuli aliwahi kutoa hotuba kali mno dhidi ya mabeberu na vibaraka wao. Hakika Tanzania ikaumizwa sana kwa kuondokewa na...
1 Reactions
7 Replies
215 Views
Hehehee! Kile kionjo kidogo tuu mtu anahaha. Mwamuona? Mayii! Redcross Leo wamefurahi kumwona Jezebel akiwa anatweta heheee! Taifa zima limeshuhudia damu za watu usoni mwake Nye Nye Nye hiyo ni...
24 Reactions
41 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulikana linafahamika vizuri na vyombo vya dola, na kwamba...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Jirani kaona ampe jibu Rais Samia kwa swali lake la “Who are You?”
0 Reactions
2 Replies
326 Views
Katika historia ya mataifa mengi, hakuna kitu chenye maumivu makali kama kupoteza roho za watu wasio na hatia wanaodai tu kile kilicho haki yao ya kimsingi. Wale wanaolinda maslahi ya wote...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Katika kitu nilichofurahi ni Samia kuanzisha battle na mabeberu, hii hotuba ya Leo itageuka kilio Cha kusaga meno, unaanzisha battle na mabeberu wakati. -bajeti Yako ni $23b, ata Jimbo dogo la...
13 Reactions
33 Replies
995 Views
Niwakumbushe tu , Deni la Serikali la Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP kiwango ambacho bado kinachukuliwa kuwa himilivu kimataifa endapo ukuaji wa uchumi...
1 Reactions
5 Replies
289 Views
Samia Suluhu Hassan Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na...
19 Reactions
823 Replies
100K Views
Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao...
6 Reactions
5 Replies
268 Views
Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku...
18 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom