Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Mchawi ni wewe na timu yako
Haiwezekani uwaletee wawekezaji watanzania kibabe kama ilivyokuwa kwa DP World
Haiwezekani mzuie upinzani nchini kufanya siasa mkategemea inshallah
Haiwezekani pawepo na mauaji na utekaji kwa wakosoaji wa uongozi wako na watu wakae kimya
Yani watu wanauawa na vyombo vya dola na Rais yupo kimya
Unawateua watu wako wa familia kushika nyadhifa nyeti za kisiasa nchini na watu wakae kimya
Ccm inapora uchaguzi na kujimilikisha vyombo vya dola na watu wakae kimya?
Juzi hapa wahariri wameuliza maswali ya msingi sana kwenye press ya PM ila wamepewa majibu ya hovyo hovyo tu. Guys! Hamuoni hilo?
Na nyie vyombo vya dola ni utii gani huo uliopitiliza mnaiuinyesha? Hadi mnakuwa kama ndondocha.
Na nyie wateule wa rais mbona mkishateuliwa mnapoteza kujiamini? Sio kila asemacho rais Samia ndio kiwe.
Nilishauliza tena, kuna siri gani huko serikalini? Kuna uchawi gani unaowaoumbaza wateule wote kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba kwa hotuba yako ya jana kwa wazee wale, hata tume uliyoiteua haina tena ile credibility.
Tujikite zaidi kwenye jambo mija nyeti sana; kupunguza mamlaka ya urais, BAASI! Tume ya maridhiano, mkono wa rehema, huruma ya mama hayo yote hakuna kitu.
MAMLAKA YA URAIS YAPUNGUZWE! Tena tunaweza wala tusihitaji katiba mpya bali amendments kwenye baadhi ya ibara zinazompa rais uungu wa kuunda serikali
Pamoja na yoote, yasije tena huko mbeleni kuja kuteua wagombea nafasi ya urais ambao watakuja kuliingiza taifa kwenye dhiki na mivutano ya ndani isiyo na tija