TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,272
Reaction score
40,696
 
kajinga sana..kuna mada yake siku moja alikuwa anaitetea tokea siku hyo maswala ya financial issues ni mtupu kabisa
Sasa ushakaa ata pale BOT mpaka ubishe nachosema? 😂😂 huoni sasa kama wewe ndo kituko
 
Toka lini umeanza kutrade forex, you can only trade forex in cash(spot) izo zingine zote mnafanya ni betting
Kwaiyo we unaona uchawa ndo mzuri kuliko kubet we utaki kupata 1ml per day bila kuwalamba watu matako au abdul akutie vidole
 
Sasa ushakaa ata pale BOT mpaka ubishe nachosema? 😂😂 huoni sasa kama wewe ndo kituko
B.O.T kitu gan hapo..hao vilaza kibao tuu hapo…kuna michezo ya pesa ndefu hapo hata forex irudi nyuma..ni vile tuu ngozi nyeusi ilinyimwa utashi..
 
Kwaiyo we unaona uchawa ndo mzuri kuliko kubet we utaki kupata 1ml per day bila kuwalamba watu matako au abdul akutie vidole
1 Mil a day huezi pata kwa kusoma charts, maisha ya forex betters wote wasioelewa kinachoendelea yanafanana
 
B.O.T kitu gan hapo..hao vilaza kibao tuu hapo…kuna michezo ya pesa ndefu hapo hata forex irudi nyuma..ni vile tuu ngozi nyeusi ilinyimwa utashi..
Ukiwa maskini hata mawazo hua ya kimaskini
 
Ujinga huu hata " kilimo kwanza" walianza hivi hivi, mara powe tiller mara kila kijiji tractor, tulifika wapi na kilimo kwanza ya Pinda?
 
Hujui tanzania inatengeneza mpaka vyakula vya ziada saahv, hayo yote ni mafanikio
 
Back
Top Bottom