maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 708
- 1,519
Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi