Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Tunaojitambua, tunaondoka Dar kwenda Mikoani (kijijini huko) huku tukisikilizia mambo yenu ya D9. Tuonane mwaka mpya 2026.
2 Reactions
14 Replies
523 Views
GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai...
3 Reactions
7 Replies
377 Views
Wakati Mugabe anatwaa Mashamba kwa ya Wazungu na Mabeberu wakawa wana mkosoa Mgabe, naye alikuwa anatafuta sifa kwa wanachama wa ZANUPF yake alikuwa anawahutubia na kuwaambia wale hawawezi...
9 Reactions
14 Replies
736 Views
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
3 Reactions
27 Replies
881 Views
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu...
3 Reactions
5 Replies
234 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za...
0 Reactions
5 Replies
210 Views
Samia’s Alternate Reality Vs Documented Massacre Why her “paid protester” story collapses under basic facts Tanzanian president Samia Suluhu Hassan has now gone on record defending police who...
2 Reactions
0 Replies
357 Views
Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
3 Reactions
4 Replies
388 Views
Sabato Njema! Kimsingi huwezi kushindana na serikali/Dola ukashinda. Utaishia kuumia tuu. Hakunaga kitu kinaitwa nguvu ya Umma! Nguvu ya umma ni illusion tuu. Mbinu ya kushinda Dola ni mbili...
19 Reactions
96 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu...
0 Reactions
3 Replies
343 Views
Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭! Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
14 Reactions
35 Replies
1K Views
(Hapa ndipo tunachana pazia - tunamuona Nyerere akiwasha moto, na mfumo ukiukanyaga kwa mguu wa chuma.) JKT Awali Ilikuwa KIUMBE Hai - Taasisi, Sio Kambi. JKT ya mwalimu Nyerere haikuwahi...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Mapema Novemba 19, 2025, mmoja wa wahadhiri wa dini ya Kiislamu (Sheikh) alitoa kauli kali akisema kwamba kuelekea maandamano ya Desemba, “watakaoandamana tutawakata vichwa.” Hata hivyo, hapo...
2 Reactions
16 Replies
730 Views
Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia...
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga...
13 Reactions
26 Replies
910 Views
Mwanasheria mkuu wa serikali HARAMU alisema wazi watatafuta kesi ambazo zinaweza kumpata MANGE KIMAMBI KUTOKA MAREKANI. Wameipata Kesi ya UCHUMI hii wanaamini inatosha sana kuwashawishi Marekani...
16 Reactions
111 Replies
4K Views
Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika...
44 Reactions
119 Replies
4K Views
Alichokisema Padri Kitima kuhusu Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza athari za maanadamano ya Oktoba 29 "Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na...
10 Reactions
11 Replies
391 Views
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele...
19 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom