Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO...
2 Reactions
9 Replies
420 Views
Tuache kuongelea mkataba wa waadabu wa Dp World ambao una kila dalili za rushwa na ufisadi . Yuko wapi Chaula? Mdude Nyagali na akina Soka? Angela Kiziga aliyekwapua mabilioni ya fedha na...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
Na Ezekiel Kamwaga KUELEKEA kipindi cha Kwaresma na Sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2018, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa waraka ambao kimsingi ulikosoa vitendo vya uminyaji wa...
12 Reactions
138 Replies
8K Views
Zipo taarifa kuwa Dkt. Kibaba Furaha Michael, Mkazi wa Manispaa ya Geita yupo katika chumba cha uangalizi maalum yaani ICU baada ya kupigwa na kuteswa sana kwa sasa yupo hosptali ya mkoa wa Geita...
1 Reactions
9 Replies
411 Views
Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
4 Reactions
9 Replies
355 Views
Ni maoni yangu binafsi, Maandiko matakatifu yanasema kusamehe saba mara sabini
1 Reactions
32 Replies
710 Views
Sisemi mengi; Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi. Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali...
6 Reactions
24 Replies
829 Views
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu...
20 Reactions
24 Replies
1K Views
Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye...
34 Reactions
166 Replies
5K Views
“Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana uwezo wa kiakili na kimasikini wa kuongoza jamii. Wape bunduki, watakutana na kuua wao kwa wao. Wape mamlaka, wataiba fedha zote za serikali. Wape...
1 Reactions
2 Replies
181 Views
Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi, dini na lugha moja...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Salaam! Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge . Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"...
4 Reactions
31 Replies
821 Views
GTs, Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can...
1 Reactions
4 Replies
265 Views
Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi. Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea. In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu...
16 Reactions
27 Replies
1K Views
Kila mtu ahakumiwe Kwa makosa yake sio Kwa sababu ni Mtanganyika au mzanzibar Kila mtu apimwe uwezo wake wa uongozi sio kwa jinsia ya kike Wala kiume Hii tabia inawapa maadui wa haki na...
4 Reactions
14 Replies
483 Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uzalendo.kila Mmoja kwa nafasi yake,muda wake,sababu yake na mahali pake amejaribu/wamejaribu kujipambanua kuwa wazalendo. Kwa tafsiri ya haraka isiyo rasmi...
0 Reactions
26 Replies
647 Views
sitaki kuamini amekubali mwenyewe akutwe na haya Mama alianza vizuri sana akiwa na msimamo wake mwenyewe na huku akichuja Kwa umakini ushauri , Miaka michache ingetosha kuweka historia yake...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana...
4 Reactions
19 Replies
643 Views
Back
Top Bottom