Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,462
- 9,470
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao.
Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa kulikuwa hakuna uchaguzi.
Taasisi ya Thabo Mbeki rais mstaafu wa Afrika kusini amesema rais Samia sio rais halali wa Tanzania.
Huko Ulaya na Marekani ni kama sasa wanataka kututenga kisa tu hatuna rais halali bali aliyepatikana kwa mauaji ya kutisha.
Ajiuzulu na uchaguzi urudiwe na taifa letu lijisafishe.
Mafisadi wote wa CCM mtandao wafikishwe mahakamani kwa kuleta matatizo kwa taifa letu.