maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 709
- 1,523
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu