Samia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana na wanao julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini.
Karata zake zote...
Chama Cha Mapinduzi kimesema hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,ameonyesha kina cha uelewa alionao, ukomavu na uungwana wake...
Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa...
04 Desemba 2025
GENEVA – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa* leo wamelaani ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa kuenea na unaoonekana kuwa utaratibu wa kawaida nchini...
GT
Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama.
Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua...
Tume Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imepewa miezi mitatu kutekeleza majukumu yake.
Tume hiyo...
Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO.
Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC .
Sambamba na Kanisa la...
Ndugu zangu Watanzania,
Vijana wenzangu,
Na Taifa kwa ujumla,
Leo nasimama mbele yenu kusema maneno ambayo wengi wanaogopa kuyasema.
Maneno ambayo yamekuwa yakizungumzwa mitaani, kwenye mabasi...
Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na...
WANANCHI wamesema mara nyingi wanataka HAKI.
SERIKALI imesema kwa kurudia wao wanataka AMANI.
MAASKOFU wamesema wanataka HAKI na AMANI.
BAKWATA hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Huu ni mtazamo wangu tu kwa kile ninachokiona kinaweza kutokea.
Kwa jinsi joto la kisiasa linavyoendelea na misimamo mikali ambayo pande zote imejiwekea, naona kabisa umuhimu, ulazima na...
Samia aliposhauri na Kila mpenda amani kuwa hali ni mbaya ,aihirisha uchaguzi turudi mezani kama watanzania tuwe na uchaguzi huru na wa haki ulijiona mjanja na mbabe kwakuwa upande aliosimama nao...
Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa...
https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
VIEWS 52,000
29 November 2025
Sumbawanga, Tanzania
M/KITI WA CHADEMA SUMBAWANGA ADOLF MKONO AFUNGUKA MAZITO KWENYE KONGAMANO LA VIJANA | TUNA MAUMIVU
https://m.youtube.com/watch?v=12pTD54NCT8...
Siyo muda huyu jamaa anapewa kitengo maana Samia anawapenda sana wapambee :BBRUHH:
--------------
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu...
Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na...
Suala sio uhusiano mbaya wa Tanzania na USA tatizo ni samia Trump aingilie kati kushinikiza uchaguzi mpya kisha mgogoro utaisha hali itakuwa shwari
Marekani ina tathimini uhusiaono na Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.