Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya CCM kuanzia kutoa hongo, kununua wapinzani,kuteka watu, kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama...
6 Reactions
17 Replies
503 Views
Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan...
1 Reactions
30 Replies
472 Views
Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Salaam! Waovu na wauwaji wote duniani ni waoga, narudia Tena ni waoga wasiojiamini. Iweje changanoto ambayo inatatulika kwa kutumia akili, WEWE tutumie bunduki kwa asiye na bunduki? Pamoja na...
9 Reactions
11 Replies
509 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa...
-4 Reactions
133 Replies
3K Views
JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole...
2 Reactions
9 Replies
385 Views
Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio...
34 Reactions
44 Replies
2K Views
Huyu mzee hivi katoa pole yoyote kwa wahanga wa October 29?
0 Reactions
4 Replies
259 Views
Ni kama mambo mengine yote yamesimama Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni...
8 Reactions
14 Replies
656 Views
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi...
0 Reactions
3 Replies
207 Views
Wakuu Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi? nini kinaendelea? alishahukumiwa? kama bado,je yupo jela kwa kigezo gani hadi muda huu? Naomba kujuzwa wakuu!
1 Reactions
7 Replies
417 Views
11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo...
6 Reactions
10 Replies
409 Views
Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu...
1 Reactions
2 Replies
205 Views
Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
0 Reactions
2 Replies
171 Views
CNN, BBC, DW na vyombo vingine vya kimataifa vya ripoti barua ya mange kwa trump, je gen z kupata support ya trump ni ushindi kuelekea #D9? Trump anaweza kushinikiza uchaguzi huru na wa haki kwa...
16 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Featured
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu...
52 Reactions
203 Replies
9K Views
Dungu zangu Watanzania, Kumekuwa na mijadala mingi sana siku hizi, baadhi ikiashiria kugawanyika kwa misingi ya udini. Lakini ukweli mtupu ni kwamba udini hauna nafasi Tanzania, na historia yetu...
1 Reactions
4 Replies
151 Views
Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Back
Top Bottom