Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,594
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa Mapinduzi ya nguvu ya umma.
Mmendelea kutoa vitisho na majigambo kuwa nyinyi pekee ndio mmeumbwa kuwatawala Watanzania. Kuwatawala kwa visasi na risasi. Mmeonja damu sasa mmeongezeka hamu. Mmekula nyama ya binadamu na dasa hamna mwiko.
Lakini nyinyi na makuwadi wenu wa uovu mmepaniki!! hamuachi matamko, vitisho na majigambo. Mnatishwa nini na mna risasi na vifaru? Mnakuja na hoja za kidini na zinapuuzwa hamuelewi. Mnatishia
Kuua tena lakini nyinyi ndio mnaogopa.
Mnawaogopa Watanzania? Mmepaniki, hamjielewi. Hamkubali kuachwa? Mnaleta figisu mapenzi yalipochuja. Mmepaniki nini hasa hata maofisini mnakaa kwa kunyemelea...
How so? Who are you?