Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango? Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?! Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya...
40 Reactions
107 Replies
3K Views
Hawa wana CCM wanaotolewa kwenye meza kuu wawe na ujasiri wa kuunda chama ambacho kitakuwa mbadala wa CCM. Iwe CCM B ya ukweli na wazi. Nchimbi Majaliwa Mpango January Mpina Dotto Biteko...
2 Reactions
5 Replies
92 Views
Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu...
0 Reactions
7 Replies
69 Views
Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na...
3 Reactions
1 Replies
68 Views
Au mimi ndio sielewi yanayoendelea uko mjini?
1 Reactions
7 Replies
140 Views
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa wanaosema ati Kujiuzulu kwa VP bas the same way ambayo atakayoitumia boss kubwa ⏱️💯 kuachia ngazi. Labda niwaambie tu, me nadhani hamumjui huyu bibi vizur...
2 Reactions
1 Replies
52 Views
Jina lake limekatwa huko Bumbuli. Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme Pia soma 1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani. Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much. Too much arrogance Too much innocent blood...
1 Reactions
5 Replies
86 Views
Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai...
1 Reactions
9 Replies
343 Views
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi. Akiwa Umoja wa Vijana...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
1 Reactions
0 Replies
42 Views
Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda...
0 Reactions
61 Replies
341 Views
Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost. Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu...
1 Reactions
4 Replies
113 Views
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye...
5 Reactions
34 Replies
313 Views
Sheikh Mziwanda akiwahutubia waumini na wananchi waliohudhuria Maulid ya Kitaifa yaliyofanyika Mnazi Mmoja amesema maendeleohayawezi kupatikana kwa njia ya fujo wala matusi, bali kwa kushikamana...
0 Reactions
2 Replies
26 Views
SAMIA: Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka za Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya siku hii njema ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) itukumbushe kuendelea kuishi kwa upendo...
2 Reactions
17 Replies
190 Views
MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye...
24 Reactions
253 Replies
10K Views
Back
Top Bottom