Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,118
- 5,369
Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa
Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love
Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku
Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane
Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia