Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume...
2 Reactions
15 Replies
313 Views
Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini? Hizi ni akili za wapi? kila siku watu wanatekwa na kuuwawa...
11 Reactions
17 Replies
618 Views
Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji. “Sikuvipongeza vyombo...
2 Reactions
10 Replies
364 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi ya Taifa, huku akiwataka Watanzania kuendeleza uzalendo na kulinda...
1 Reactions
11 Replies
510 Views
Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua" Katika mapambano ya kujenga...
3 Reactions
24 Replies
709 Views
Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao...
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna...
-1 Reactions
9 Replies
296 Views
  • Featured
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini. Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya...
75 Reactions
296 Replies
18K Views
Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z ============ Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake...
17 Reactions
21 Replies
913 Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Usipotaka kuamini acha. Ila iko hivi wanajeshi wa Uganda waliokuwa wakishirikiana na kmkm kupiga risasi raia wako ndani kwenye mahabusu za jeshi makambini. Among other things huko maeneo ya...
58 Reactions
172 Replies
7K Views
Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
5 Reactions
6 Replies
256 Views
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima...
7 Reactions
13 Replies
385 Views
Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya...
9 Reactions
11 Replies
352 Views
Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na...
1 Reactions
9 Replies
327 Views
One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu...
4 Reactions
17 Replies
742 Views
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza amehoji; "Raia wakichochea wanatekwa, wateule na Polisi wakichochea nani awateke? Tumkamate aliyempiga Fr. Kitima ndipo...
4 Reactions
2 Replies
285 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kiongozi anapaswa kushukuriwa ,kuungwa mkono ,kupendwa ,kulindwa ,kupiganiwa na kutetewa na vijana Wote wa Nchi hii. Basi kiongozi huyo siyo Mwingine bali ni...
2 Reactions
60 Replies
940 Views
𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗩𝗬𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗔𝗥𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜𝗧𝗜𝗭𝗔 𝗨𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗡𝗗𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗜𝗡𝗚𝗜𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗡𝗚𝗔𝗡𝗢 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi...
2 Reactions
20 Replies
739 Views
Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu Hii ndio faida ya kile mnacho sema na...
6 Reactions
9 Replies
423 Views
Back
Top Bottom