DOKEZO Agent wa Fedex Tanzania (Rangel Logistics) Achunguzwe kwa kuhujumu uchumi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,596
8,738
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi.

1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za TRA na sio msafirishaji cha ajabu wenyewe ndiyo wamejipa madaraka fake ya TRA.

2. Wanachelewesha mizigo makusudi kwa siku saba ili wataifishe mzigo wako na ukienda siku mzigo umefika hawawezi kukupa kwasababu wanataka wakupe storage fees.

Google review zinatisha
---

"This place turned it around in the end. I had a package shipped from US to Tanzania. There was communication in the beginning and then it stopped. We had a situation where we were traveling and needed the package before we left. We got it the day before we left but not without trials and tribulations. I'm happy that we did get our package. I'm unhappy with the timeframe and the lack of communication of SOME of the customer service agents. Would I recommend...I would never ship a package here again. BUT I did eventually get my package after being in the country 3 weeks."

"Avoid if you can even if you need to pay double to someone else like DHL. You will wait 3 times longer that with any other company because of some documents they processing extremely slow. You pay to get delivery to your address but they will call you saying that is to far so you should come to pick it up. And still they charge as per door to door. Worst experience and service from all possible international delivery companies."

"Google really need to introduce zero star rating for these kind of companies. Poor service, no response and destroying worldwide brand images. Fedex in Tanzania is one of the worst courier service you can use due to the poor service that you will encounter when your goods arrive in Tanzania."

"FedEx Tanzania is not a courier company it's a scammer and very bad treat to foreigner, they charge clearance charge more than tax amount even i did all the clearance process by other agent, also they don't deliver my goods at my place they harras me mentally and financially, I am sure one day this company will close , also they updated wrong information I went to receive my parcel myself 27th Dec but they updated 23rd December."

"I Give them One Star But to be real is Zero Star for this company. They got bad unresponsive customer service, They take too long to clear your Parcel/Package, .So Guys Don't waste Your valuable time and Money,. Choose other company !!"
 
Everything is horrible hapo nyumbani.
Kuna account inaitwa Tanzanite CRDB,nna miezi 6 Sasa wameniblock,
Fees wanalamba km kawaida,nikilalamika wanasema unblocked.
Nikijaribu kulog inn blocked again.
Ishatokea zaidi ya mara 10.
Nishakata tamaa.
Upuuzi mwingi sana.
 
Pole ndugu. Acct yangu ya Tanzanite imenipotezea €500 kuptia monthly deduction. Nimeachana na CRDB. Heri ya waKenya Equity.
 
Pole ndugu. Acct yangu ya Tanzanite imenipotezea €500 kuptia monthly deduction. Nimeachana na CRDB. Heri ya waKenya Equity.
Wanakera sana,email hawajibu kwa wakati,na maswali ya kijinga mpk kuna siku wakasema niwatajie timu ya mpira ninayoshabikia,mi sio shabiki wa mpira.
Nikajibu nijuavyo wakasema nimekosea block tena.
Yaani wanafanya vitu ambavyo hawana utayari navyo.
Acc ya usd wameshindwa kuiaccess mpk leo na doc zote wanazo.🤦‍♂️
 
Mkuu Kamundu hao jamaa FEDEX na DHL wote ni wezi na wababaishaji.

Wizi wao upo hapo kwenye kulazimisha kukuuzia document ya mzigo wako (airway bill) pale unapowaambia kuwa utafanya clearance wewe mwenyewe au na agent wako.

Wanasema wanakuuzia document hiyo kwa Tshs.88,000/= au la waruhusu wao wakufanyie clearance kwa Tshs. 113,000/=. Sasa unawauliza document yangu mwenyewe inakuaje niinunue?? Majibu yao ni kuwa, unainunua kwa kuwa umetumia jina lao (FEDEX au DHL). Unawaambia, si nimewalipa gharama ya kusafirisha tayari?? Baada ya hapo hujibiwi kinachoeleweka na wanasubiri siku 7 waanze kukuchaji storage

Nina imani hizi kampuni kwa Tanzania zitakuwa ni za viongozi wa siasa, ndio sababu ya kujitozea hela watakavyo na huna cha kuwafanya.

Kama alivyosema mmoja wa watoa maoni, hizo kampuni hawataki kuleta mizigo kitunda, mbezi mwisho nk kwa madai kuwa ni mbali sana, wanataka ukafuate ofisini ilhali fedha uliyolipa ilikuwa imepima umbali mpaka kwenye zipcode yako, yaani ulitakiwa ufikishiwe mlangoni kama wafanyavyo EMS au CDS.

Mimi sitaki kabisa kuwatumia hawa wezi, nawakubali sana Speedaf, hawa nawasubiri wawe na huduma nje ya aliexpress itakua poa sana
 
2. Wanachelewesha mizigo makusudi kwa siku saba ili wataifishe mzigo wako na ukienda siku mzigo umefika hawawezi kukupa kwasababu wanataka wakupe storage fees
hii ya storage fees imekuwa kama zaka yao, ni lazima wakupige tu hata kama umelipia kila kitu siku ile ile uliyoletewa invoice.

Kuna siku dada mmoja nilimpigia akaniambia yeye siku ile hawezi kushughulikia mzigo anaumwa mafua na ilikuwa ijumaa weekend, nilijua tu hapo zinatafutwa storage charges.
 
Nimewaachia mzigo

Gharama Za kutoa ni kubwa jamani

Nikataka kutolewa na mtu mwingine .. kucollect documents wanataka 180,000 wanasema gharama ya kusafirisha documents kutoka mzigo ulipotokea na kule walishalipwa 200$

Na zilikua sample tu, nikaagiza nyingine zimefika na Nimepokea kwa 50$ (kila kitu included)
 
sehemu yoyote kiongozi akiwa mbongo ilo ni tatizo fedex ni kampuni kubwa ambayo haijaanza jana wala juzi imeanza miaka mingi huko tena utendaji kazi wake ni mzuri ulaya ,American na Asia yote yani kiufupi fedex ni zaidi ya watu wanaojielewa ila shida ni sisi wabongo au ngozi nyeusi
 
Mkuu Kamundu hao jamaa FEDEX na DHL wote ni wezi na wababaishaji.

Wizi wao upo hapo kwenye kulazimisha kukuuzia document ya mzigo wako (airway bill) pale unapowaambia kuwa utafanya clearance wewe mwenyewe au na agent wako.

Wanasema wanakuuzia document hiyo kwa Tshs.88,000/= au la waruhusu wao wakufanyie clearance kwa Tshs. 113,000/=. Sasa unawauliza document yangu mwenyewe inakuaje niinunue?? Majibu yao ni kuwa, unainunua kwa kuwa umetumia jina lao (FEDEX au DHL). Unawaambia, si nimewalipa gharama ya kusafirisha tayari?? Baada ya hapo hujibiwi kinachoeleweka na wanasubiri siku 7 waanze kukuchaji storage

Nina imani hizi kampuni kwa Tanzania zitakuwa ni za viongozi wa siasa, ndio sababu ya kujitozea hela watakavyo na huna cha kuwafanya.

Kama alivyosema mmoja wa watoa maoni, hizo kampuni hawataki kuleta mizigo kitunda, mbezi mwisho nk kwa madai kuwa ni mbali sana, wanataka ukafuate ofisini ilhali fedha uliyolipa ilikuwa imepima umbali mpaka kwenye zipcode yako, yaani ulitakiwa ufikishiwe mlangoni kama wafanyavyo EMS au CDS.

Mimi sitaki kabisa kuwatumia hawa wezi, nawakubali sana Speedaf, hawa nawasubiri wawe na huduma nje ya aliexpress itakua poa sana
Kaka! Hawa jamaa kwa vyovyote vile watakuwa na mgogoro na makao makuu na mgogoro wenyewe utakuwa kuhusu commission wanayolipwa ni ndogo.

Ndio maana na wao wamebuni njia za kumkamua mteja wa mwisho

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Pole bhana.......hope kuna makampuni mengine yenye ubora zaidi wa kazi kuliko fedex si ndio....then just shift!!!
 
namshangaa mtu yeyote anayewatumia Fedex hapa Tz

unge search humu ungepata malalamiko mengi tu, plus reviews yao kule Google ingekupa majibu tosha

hao ni wahuni na ni matapeli
 
FedEx sio matapeli tatizo wabongo wanao wawakilisha fedEx hapa nchini
 
Back
Top Bottom