Mwanza: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,182
219,328
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya Sengerema .

Kama kawaida , Mwamba Kabisa Freeman Mbowe , au Cyborg , mtu chuma asiyechoka kutetea wabongo ataongoza Maandamano hayo

Screenshot_2024-04-27-11-14-00-1.png

Usiondoke JF
=========
Mambo yameanza kuwa Bambam , Sengerema kimewaka

Screenshot_2024-04-27-14-08-02-1.png
Screenshot_2024-04-27-14-07-57-1.png
Screenshot_2024-04-27-14-08-18-1.png

Hatari sana !

Screenshot_2024-04-27-18-40-45-1.png
 
Nakusanya data ili nije nijumuishe kujua je haya matembezi yameleta mabadiliko yeyote katika hizo kero au uongozi umeamua kutafuna ruzuku kwa mtindo mwengine viongozi ni wale wale wanapangiwa hotel kila mkoa kwanini wasiachie viongozi wa maeneo husika!
 
Nyongeza, Viongozi wengi wa Chadema wanatumia hela za mfukoni mwao kufanya mambo ya Chama , na hasa haya ya kutetea Watanzania
 
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya Sengerema .

Kama kawaida , Mwamba Kabisa Freeman Mbowe , au Cyborg , mtu chuma asiyechoka kutetea wabongo ataongoza Maandamano hayo

View attachment 2975160

Usiondoke JF
=========
yanaanza saa ngapi
 
Chama changu naomba nilulize, hivi haya maandamano yana tija kweli? Au no kuleta taharuki tu? Mimi nafikri chama changu kingejikita kwenye kufanya mikutano tu ya hadhara bila maandamano!
 
Dah we nae unatujazia saver na nyuzi zako zisizo na kichwa wala miguu. We kila siku ni maandamano tu. Post hata michongo ya biashara watu wajifunze si unajiita bilionea.
 
Back
Top Bottom