Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,169
- 138,398
Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
Kwamba ibirisi mwenyewe anamuogopa jamaa. 😂 😂😂😂😂
Mkuu si tulikubaliana kuwa Chadema imekufa au? Kwani mifano yoyote ya Fisiemu lazima mkachungulie kwa Chama kilichokufa kuwa wao wanafanyaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Chadema wanayo hiyo kitu. Tofauti ya CCM na Chadema ni kuwa CCM return ni kubwa ( unaweza lamba uteuzi) wakati Chadema unaishia kupostiwa kwenye mitandao. Zengwe na fitina za Chadema anazijua vzuri Zitto